Recent content by Tyegelo

  1. T

    Nyumba ya kupanga inatakiwa Singida

    Ninaihitaji haraka nyumba ya kupanga ya vyumba 3 vya kulala, kimoja kati yao kiwe master, iwe katika manispaa ya Singida. Mwenye nyumba tafadhali wasiliana nami kwa 0752456024.
  2. T

    Guest gani nzuri Mwanjelwa, Mbeya?

    Uyole Guest sio kwamba iko Uyole na si Mwanjelwa, mkuu? Hata hivyo, chumba bei gani hapo?
  3. T

    Guest gani nzuri Mwanjelwa, Mbeya?

    Nategemea kutembelea Mbeya hivi karibuni. Naomba anayejua guest nzuri bei isiyozidi 20,000 Mwanjelwa, Mbeya anisaidie.
  4. T

    Humphrey Polepole: Salamu Zangu Kwako

    TV channel gani?
  5. T

    Tundu Lissu, Terezya Huvisa ndani ya EATV

    Ningependa kufahamu kuhusu fidia ya usumbufu alioupata Lema na kama itatolewa itatolewa na nani?
  6. T

    Sumaye amkaanga JK

    Tatizo la Sumaye haelezi marekebisho yaweje, na anayoyasema wengi tunayachukulia kama maneno ya mkosaji, si juzi tu alikosa ujumbe wa NEC.
  7. T

    Mkapa arusha kombora; Awashutumu viongozi wa dini, Serikali

    Ujuaji wa kila mtu ni muhimu sana ktk kuleta maendeleo. Ujuaji unasaidia kuidhibiti serikali na kuifanya iwajibike. Mataifa yaliyoendelea yameendelea kutokana na ujuaji wa watu wao. Watawala ovyo hukerwa na ujuaji wa wananchi, hufurahia umbumbu wa watawaliwa. Hekima ya watawala wetu huonekana tu...
  8. T

    Pesa ninazo nisaidie wazo

    Tatizo hapa hakuna option ya "dislike", ningeibofya.
  9. T

    Pesa ninazo nisaidie wazo

    Kilimo? Tatizo huku Songea ardhi imechoka sana, yatahitajika matumizi makubwa ya mbolea ambayo yataongeza gharama za uzalishaji na hivyo kunipunguzia faida, mkuu. Heshima bar? Tusile mtaji, mh.
  10. T

    Pesa ninazo nisaidie wazo

    Nina tsh 80m, niko Songea. Nianzishe mradi(miradi) gani ili niuage umasikini? Nisameheni kwa kukopa kabla ya kuwa na wazo kwanza. Ninatakiwa niwe nimezirudisha benki baada ya miaka 15 kuanzia sasa na 21%. wazo, tafadhali.
  11. T

    Hivi pccb wanafanyaje kazi zao?

    Kama inaliwa hadharani, wewe mwenyewe umechukua hatua gani? Maafisa wa pccb hawawezi kuwa kila mahali kwa wakati moja. Watajuaje bila kuambiwa? Watashindaje kesi bila ushahidi kutoka kwako? Angalau ungewakemea wala rushwa, wangeinama, wangeona aibu na kuacha kula rushwa. Wananchi wa kawaida tuwe...
  12. T

    Waziri Bernard Membe kalipotosha Bunge kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa

    Sote tukodolee macho ramani, Membe kachemka. latitudes zilizotolewa na Membe zilitolewa kimakosa, na zinatunyimisha tunachokidai. Acheni ushabiki, Membe kadanganya. Mnayemwita mmalawi yuko sahihi.
  13. T

    Makinda awashukia viti maalumu

    Wabunge wa viti maalum wa nini? Wabunge wa majimbo wanawawakilisha wananchi wote walioko jimboni wakiwemo wanawake, walemavu, n.k. Viti maalum ni anasa, gharama isiyokuwa ya lazima. Wengi wa wabunge hawa huhudhuria tu, hawashiriki ktk vikao vya bunge. Mbele ya safari tupiganie kuipunguza idadi...
  14. T

    Fani gani itakuwa na soko 2o21?

    Nataka fani itakayolipa na kunifanya niishi vizuri, mi siipendi fani kwa ajili yake, naipenda fani kwa ajili ya kipato itakachonipatia.
  15. T

    Fani gani itakuwa na soko 2o21?

    Maneno gani sasa hayo? Niache kupanga mambo yajayo kwa kuwa kuna kufa? Je nisipokufa? Ndio maana nchi hii haiendelei watu hawafikirii miaka 20 ijayo, wanawaza leo tu!
Back
Top Bottom