Mkuu,
Tusisahau na karma ya Chacha Wangwe nayo inasubiri kujibiwa
Usisahau hata Mwenykt wetu Mbowe alipoteza Kaka yake, Lissu alipoteza dada yake Christina,
Je vifo vya hawa wapendwa wao vimelipia karma kwa nani!??
Yote kwa yote kifo hutokea kwa kila mtu, hata wewe mleta mada naamini...
Hii dhana ya kusema Jpm alikuwa akipendelea Wasukuma wenzake mlikuwa mkimaanisha Wasukuma wa mkoa gani!???
Sio nyinyi mliosema kudeka deka kwa Wasukuma kumefika mwisho kisa Godfather wao kafariki,
Sasa leo vp tena mnaanza kujibaraguza na kujipendekeza Mwanza na kuanza kukana kauli zenu!??
Alikamatwa Mbowe huko Mwanza na hakuna mlilolifanya
Enzi za JPM walihukuniwa karibu viongozi wote ngazi za juu na hakuna mlilolifanya
Utawala wa JK virungu tulitembezewa sana, mabomu ya Olasiti Arusha yakasikika na hakuna kitu tulifanya
Acha mkwara mbuzi kijana
Kaangalie wajumbe wa NEC ndipo utaelewa nguvu ya CCM imelalalia wapi
All in all pamoja na mapungufu yake lakn CCM imebeba taswira haswa ya nchi kwakuwa watendaji ndani ya chama mpaka wajumbe wa NEC wanatoka pande tofauti tofauti za nchi yetu
Hili pía lingehamia huku upinzani kwetu Chadema...
Chief spy unaemtaja anahusikaje na jaribio la kifo cha Lissu ilhali uteuzi wake ulianza 2019 na ameondoka 2023
Ilhali Lissu alikutana na dhahma ya risasi 2017
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Hakuna sheria ya guest house inayomzuia mteja asiondoke mwenyewe hata kama aliingia na mwenza
Pia huyu ni Poti, walivyo watemi watemi angepita pale getini bila kubughudhiwa na yeyote
Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??
Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!??
Pia kwa maaskari wetu walivyo wababe sidhani kama angehitajika kuruka geti, pale ilikuwa anakwenda kumface mlinzi na kumuamuru amfungulie...
BOT ipo chini ya wizara ya fedha
Hivyo kimamlaka katibu mkuu ni mkubwa kuliko Gavana
Ila Gavana anamuacha mbali kimshahara na marupurupu katibu mkuu
Ni kama vile ilivyo kwa mkurugenzi wa TPDC anavyokunja mpunga mrefu kuliko katibu mkuu nishati
.. Kwamba wakijaribu kubinya, homeboi wako nae anabinya, serious!??
Naona umemuoverstimate sana jamaa, kumbuka jamaa hana jeshi wala influence yoyote chamani zaidi ya kuwa mtu mwenye kujua siri kuu za nchi na viongozi wake and as long as hayupo idarani tena basi hana cha kubinya tena na...
W
We bado hulijui soko la Cr7 lilivyo na nguvu, hapo kinachobadilika ni focus ya kibiashara huko Saudia,, waarabu wanapesa vibaya sana
Preseason za Vilabu vingi vikubwa ulaya hupenda kwenda barani Asia ili kutanua wigo wa masoko yao
Waarabu ndio kiini cha Man City kutawala Epl, na sasa...
Si tawala wala upinzani bali wanasiasa ndivyo walivyo
Chadema enzi zile kiliutangazia umma kuwa Lowassa ni fisadi papa na mpaka kwenye website ya chama list ya mafisadi papa Lowassa alikuwemo, wanachama walishangalia na wakaunga mkono
2015 Lowassa ktk chaguzi za ndani akakatwa CCM na kuhamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.