MSG chamber Squad vs SKM Gang, A game of chance

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Friends n foes! Retaliations or survival of the fittest?

What a coming back! Waswahel wanasema Mwenda tezi na omo? Marejeo ngamani! Hili ni jalamba kuelekea 2025. Misuli inapashwa! Timu zinachekechwa, Its a shake up! Vina vya maji vinapimwa.

Ni magazijuto tupu na michezo ya kuviziana. Nguvu hasi mbili zikitoshana nguvu zinazaa nguvu chanya moja! SKMG ni kama wameshapigwa mbili bila. Jemadari kamarade hayupo tena! Zimebaki story za kusisimua tuu.

MSG chamber squad haoo wanapepea. Mwema karudishwa Kilingeni, homeboy wangu kapigwa teke! Ila naye kakomaa hataki dharau na anajua yatokanayo maana mpaka jemadari analala yeye ndio alikuwa lindoni. Wakijaribu kubinya anabinya pia.

Kasema kwa kibri, "Am not the one for the 'safe house' huko wanapelekwa walugaluga waliookotezwa majalalani, Amateurs! Not for professionals with experience and a lot of sensitive cords n codes!"

Tupate mtori kwanza. Maana fukuto halijawa kali, lakini huko uvunguni kunatokota. SKMG anakaribia kuyaaga mashindano kama alivyoaga jana Yanga .

giphy.gif
 
.. Kwamba wakijaribu kubinya, homeboi wako nae anabinya, serious!??

Naona umemuoverstimate sana jamaa, kumbuka jamaa hana jeshi wala influence yoyote chamani zaidi ya kuwa mtu mwenye kujua siri kuu za nchi na viongozi wake and as long as hayupo idarani tena basi hana cha kubinya tena na ukingatia sio mwanasiasa anaewania madaraka kiasi kwamba awe tishio kwa AMIRI jeshi

Anakuwa hana tofauti na Rashid Othman, Cornel Apson nk ambao hawa walikaa idarani kwa miaka takribani 10 sasa sembuse homeboi wako aliyekaa miaka 3...!!!
 
Tuupe muda wakati
 
Friends n foes! Retaliations or survival of the fittest?

What a coming back! Waswahel wanasema Mwenda tezi na omo? Marejeo ngamani! Hili ni jalamba kuelekea 2025. Misuli inapashwa! Timu zinachekechwa, Its a shake up! Vina vya maji vinapimwa.

Ni magazijuto tupu na michezo ya kuviziana. Nguvu hasi mbili zikitoshana nguvu zinazaa nguvu chanya moja! SKMG ni kama wameshapigwa mbili bila. Jemadari kamarade hayupo tena! Zimebaki story za kusisimua tuu.

MSG chamber squad haoo wanapepea. Mwema karudishwa Kilingeni, homeboy wangu kapigwa teke! Ila naye kakomaa hataki dharau na anajua yatokanayo maana mpaka jemadari analala yeye ndio alikuwa lindoni. Wakijaribu kubinya anabinya pia.

Kasema kwa kibri, "Am not the one for the 'safe house' huko wanapelekwa walugaluga waliookotezwa majalalani, Amateurs! Not for professionals with experience and a lot of sensitive cords n codes!"

Tupate mtori kwanza. Maana fukuto halijawa kali, lakini huko uvunguni kunatokota. SKMG anakaribia kuyaaga mashindano kama alivyoaga jana Yanga .

giphy.gif
Nimemkumbuka yoga ghafla, au basi!
 
Back
Top Bottom