pole mkuu pole sana sana yani
binafsi nilishawahi kukutana na aina ya mwanamke wa namna hiyo tena alikuwa mwanachuo pia.
nilichokuja kigundua wakati ule ni kuwa watoto wa chuoni wengi wao ni wachafu.
kama unampenda basi anza kuzungumza na moyo wako ili uache kumpenda.
usimuini bro kwa maneno...
Wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,
Je, ni kweli kwamba kila mwanaume mwenye mafanikio basi nyuma yake kuna mwanamke?
Katika kipindi hiki cha kizazi cha • com
kweli hilo linawezekana?
Mahusiano hayaeleweki
Ndoa hazieleweki
Migogoro kila kukicha
Visa vya mapenzi vinaibuka...
Miaka ya 1960 nchi nyingi za kiafrika zilikuwa zimeanza kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni.
Katika kipindi hiki cha uhuru hakika Dunia ilikuwa ikishuhudia kizazi cha kipya cha vijana walikuwa wamejitoa kupigania uhuru wa mataifa yao kama sio uhuru wa Afrika nzima.
Vijana kama Ptrice...
Bila shaka kuna siri kubwa nyuma ya uchumi wa Ethiopia.
Maana sijui kwanini wanaondoka nchini mwao, wakati wanajinasibu kiwa na uchumi mzuri na mambo mengine meengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.