[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una hakika mimba ni yako blaza?? hao viumbe waangalie kwa umakini sana....
unamcheka jamaa!!.....anaweza bambikiwa toto,,,,,then baadae linakuwa booonge ya kimeo....ukifuatilia unaambiwa sio wako........wanawake nyie.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakikisha mwanamke anakupenda ndo uoe ndoa ni tasisi nyingine kabisa ukiweka urembo kwenye ndoa utachambia mawe.
Huyo binti ushamharibia mipango yake hiyo laana utaishi nayo ukimuacha hivyo kama anakupenda mchukue huyo
Unaowapenda watakuacha kila baada ya muda anaekupenda atakuvumilia kila shida.
unafikiria kwenye DNA unaenda tuu kama kama sokoni....kuna taratibu.....anza kufuatilia ujue....Mpango nilionao mkuu, nasubiri akijifungua baada ya muda nitapima DNA kwa siri na mtoto.
naamini hiyo ndio njia pekee itakayonifanya niwe na uhakikia kuhusu huyu mtoto.
oukey blaza.....kila la kheri...Najua kuna Utaratibu mkuu
bt nina nafasi ya kufanya hiyo kitu bila kizuizi chochote.
Nimependa hapo "mambo mengine huamuliwa na muda"Kiufupi hata ujilazimishe kumpenda hali itakua ndo hiyo Hiyo. Kikubwa jitahidi kuwa baba bora kwa kiumbe kinachotarajia kuja ulimwenguni, mambo mengine huamuliwa na MUDA.
Ungetumia condom sasahivi usingekuwa na haya majuto.
Nakushauri ukubali matokeo tuu.