Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Ulitaka akatae kwanini?
Usiku mwema Nokia83Ubaya unatoka wapi
hebu fuata ulichofata chuoni Huyo yupo Kwa akili ya kumfacilitate hapo chuo akiwa likizo Yupo Kwa bwanake dogo wanawake mungu wao alishakufa kitambo shauri yako ngoja udisco sijui utamwambia nini your sponsorNina mpenz wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1.....tulivyoenda likizo amebadilka sana....hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae bas sms tano mwisho anasema kazi nyingi...tulivyorudi likzo nikakuta sms za mapenz kweny sim yake za kutongozwa na amekubali....Lakini amekiri kosa anaomba msamaha nini nifanye wadau wang naombeni ushauri plz
nimekumissMuoe
Piga chini aanza upya ...kwa maana kuanza upya si ujinga ...mzee baba tena Fanya hivyo bila kumwambia ..kimya kimyaa......!!! Jifunze kumwacha aende... .....Nina mpenz wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1.....tulivyoenda likizo amebadilka sana....hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae bas sms tano mwisho anasema kazi nyingi...tulivyorudi likzo nikakuta sms za mapenz kweny sim yake za kutongozwa na amekubali....Lakini amekiri kosa anaomba msamaha nini nifanye wadau wang naombeni ushauri plz
Haha acha ukorofi love..
Duhhh watu mmepindaMtongoze upya naww
Nina mpenz wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1.....tulivyoenda likizo amebadilka sana....hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae bas sms tano mwisho anasema kazi nyingi...tulivyorudi likzo nikakuta sms za mapenz kweny sim yake za kutongozwa na amekubali....Lakini amekiri kosa anaomba msamaha nini nifanye wadau wang naombeni ushauri plz