Bigbon
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 600
- 730
Yamenishinda bora tuaachane. namkumbuka sana lavalavaMwanamke mnapanga future mfanye investment kesho anakuletea bunda LA nguo na mawigi tutatoboa kweliii LEO NASEMA BORA TUACHANE
Yamenishinda bora tuaachane. namkumbuka sana lavalavaMwanamke mnapanga future mfanye investment kesho anakuletea bunda LA nguo na mawigi tutatoboa kweliii LEO NASEMA BORA TUACHANE
Hahah!! Imebidi nikujibu tu maana ulinishika koo kinoma... ila ukiona nakwepa kwepa vile ujue kuna mitego imetegwaHaa haa haa hatimae finally
Salut imepgwa noumaaa kweli
Kama umepatia vle sema nyuma ya Oman
Tunavuta tu jasho huku





anadate na jini huyu.....Mlikutana vipi?
Ni nini kilikuvutia kwake?
Uchumba mlikaa muda gani?
Inawezekana mlikutana disco
Kilichokuvutia ni msambwanda
Uchumba mmekaa miezi mitatu
Basi fanya kama mimi tu, then utakua mwenye furaha teleMkuu Mwanamke haoneshi kubadilika,, unajaribu kumwelekeza kuhusu future kusave money na kuwekeza kwenye miradi haelewi kila siku I love you, na mizinga juu,, kiburi nacho hicho, looooohjh Hawa viumbe nimewanyoshea miguuu
Haa haa haa mitego lazmaHahah!! Imebidi nikujibu tu maana ulinishika koo kinoma... ila ukiona nakwepa kwepa vile ujue kuna mitego imetegwa
Poa wasalimie sana huko
Kivipi hyo nipe techniqueBasi fanya kama mimi tu, then utakua mwenye furaha tele
Piga chini then fanya replacement haraka iwezekanavyo.Kivipi hyo nipe technique
Pamoja mkuuHaa haa haa mitego lazma
Najua tu wanaume hatupit njia
Moja
Wamesalimika aiseee
Wape hii watoto wa bashite