TX8
Member
- Mar 17, 2018
- 28
- 15
Wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,
Je, ni kweli kwamba kila mwanaume mwenye mafanikio basi nyuma yake kuna mwanamke?
Katika kipindi hiki cha kizazi cha • com
kweli hilo linawezekana?
Mahusiano hayaeleweki
Ndoa hazieleweki
Migogoro kila kukicha
Visa vya mapenzi vinaibuka kila siku.
Toa maoni yako tujadili kwa pamoja kuhusu dhana hii wakuu.
Wasalaam TX8