Recent content by twivamumu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Walioipigia kura CCM hasa za urais, vilio vya Watanzania ni juu yenu!

    Wakulaumiwa zaidi ni wale waliochagua wabunge wa ccm
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu 'Maoni ya Dr. Slaa' juu ya pesa za wahanga wa tetemeko Bukoba

    Serikali na kitengo chenu cha maafa hadi Leo hamjatuambia mmetoa sh ngapi ila pesa wanazo jitolea wasamalia wema mnazipangia matumizi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Maafa ya Kagera kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu

    Na hivyo vyakula mmesha wapa? au bado mnawauzia kwa bei nafuuu?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa, Meya wa Ubungo, Jerry Muro, Majura Magafu na wengine maarufu wadaiwa sugu HESLB

    Toeni na majina ya wahanga wa kagera au wameshalipwa?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Wazungu hawamcheki Mke wa D.Trump?

    Ni utumwa mtambuka
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, unajua maana halisi ya Electoral College inayotumika kuchagua Rais Marekani? Jifunze

    Huku kwetu matokeo yanaamuliwa na tume
  7. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

    Lowassa si alishazikwana Mzee sita toka mwaka Jana?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuagwa kwa mwili wa Samuel Sitta, Viwanja vya Karimjee

    Kufa usifiwe!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kuaga mwili wa Marehemu Joseph Mungai

    Hivi mtu kumwagiwa sifa kibao kwenye msiba akiwa amefaliki ni sheria au desturi na mila?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kelele Kutoka Makanisa ya Kilokole

    Tanga maulidi zinasomwa daily halafu ni mida ya usiku karibu na makazi ya watu na spika zao ni kawa kelele tupu
  11. T

    JamiiForums Tanzania DAR: Ghala linalomilikiwa na Saba Spare Parts lateketea kwa moto

    Fire huwa wanafika muda wa kuondoa mabaki tu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wadau tumefarijika mnoo na ripoti mpya ya utafiti wa UKIMWI nchini

    Hata TRUMP ameziumbua tafiti zenu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa Interview sehemu mbili muda mmoja

    Angalia usitapeliwe
Back
Top Bottom