Mkuu you are so defensive like defending your thesis. Posts za mitandaoni hususan kutoka kwa watanzania wenzetu hivi karibuni zilipaswa kutushtua hamkani si shwari linapokuja suala la kiingereza kwa watanzania ili angalau tupate suluhu ya kudumu. Kinyume chake mmeanza visingizio. Naishia hapa.Swali langu wewe unayecheka unapata wapi huo uhalali wa kukosoa Lugha ambayo hata wewe mwenyewe siyo lugha yako na haujakulia nayo hivyo ina maana haujui pia? Na kama unavyosema ni kweli kwamba Wazungu wanjua sisi tunatumia Kiingereza ni kwa nini sasa tunatakiwa tufanye TOEFL (Test of English as a foreign language!) tukienda kusoma au kufanya kazi USA au nchi yoyote ile ambayo lugha yake ni Kiingereza?
Mkuu you are so defensive like defending your thesis. Posts za mitandaoni hususan kutoka kwa watanzania wenzetu hivi karibuni zilipaswa kutushtua hamkani si shwari linapokuja suala la kiingereza kwa watanzania ili angalau tupate suluhu ya kudumu. Kinyume chake mmeanza visingizio. Naishia hapa.
wakimcheka utajuaje