Kwa hiyo wale tulioomba mwaka jana wa kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwengne vipi?tusubirie hivyo vibali au tuandike barua upyaa
Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
Ni sahihi tuu kazi kubwa mshahara kiduchu na mitusi juuuuuuu, wacha na wao wakasake tonge maana sirikali kama vile hawasikii vilio vyao,kazi lukuki malipo haba
Lkn wew ulieleta tangazo utumie ustaarabu kidogo,hlo tangazo lako linakrashiwa sababu hapa c mahala pake,kila kitu kina taratibu zake ndugu,naamini wew ni mtu mzima,ukiendekeza league it's ok
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.