Nina vyeti viwili vya form four vya matokeo tofauti. Je naweza kuviunganisha?

msaranga1

JF-Expert Member
Feb 24, 2013
323
259
Wadau mimi nina vyeti viwili vya form four vya matokeo tofauti .je naweza kuviunganisha...kiwe kimoja.msaada tafadhali
 
utaviunganishaje wakati namba na miaka uliyofanyia mtihani ni tofauti?
 
Back
Top Bottom