Recent content by Twinky

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    There are other small companies who does the same job Kama silent ocean, mm nimezitumia sana tu Na sijawahi kupoteza mzigo. Issue walikuwa wanasumbuliwa Na hivyo ku operate kawa shida. Mfanyabiashara akipeleka parcel kawa wengine basi kwakuwa silent walikuwa Na network kuwa TRA huyo agent...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

    Poleni Sana wafiwa. Mungu awabariki
  3. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    Usihofu ndugu The unstoppable president alisema wewe amka mapema kapige Kura mambo ya Nani atatangazwa mshindi Na tume tumwachie yeye
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii imenitoa machozi sio siri

    This is so sad jamani. Sio kwamba wanaimba wanaraha au wanafurahia Hili in bomu siku litakuja kulipuka .. Mungu atusaidie
  5. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mch. na Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, John Komanya hatunaye tena

    Rest In Peace Mchungaji Nyimbo zako zitaendelea kusikika masikioni Na mioyoni mwetu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Pando la mlaaniwa (USA)

    Interesting!,,
  7. T

    JamiiForums Tanzania UDSM Students' Death Announcement

    So sad RIP
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Hakufanya alikuwa arts Kwa hiyo ni hiyo moja tu Na me uwezekano wa kuchaguliwa upo? Asante
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Civ D Geo C Kisw C Geo C History C Eng B+ Bio C Atachaguliwa A level? Combination zipi? Shule Zenye elimu nzuri Na maadili Natanguliza shukrani
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Msaada wapendwa, kwa matokeo haya A level anaweza chaguliwa kwa combinations zip Civ D His C Geo C Kiswahili C Eng B+ Bio C Math B
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Msaada tafadhali, kwa matokeo haya Atapata A level combination zipi? Civ D Hist C Geo C Kisw C Eng B+ Bio C Math B
  12. T

    JamiiForums Tanzania Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

    Mi sijui kifaransa kwani inamaanisha nn
Back
Top Bottom