Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

bado hamjapata chanzo cha kuchomwa kisu??

Bado. Inavosemekana walikuwa mbise na mchoma chips. Alimchoma akamwacha ameanguka yy akaendelea na kazi yake mpaka dada mmoja alipotokea na kupiga kelele za kuomba msaada.
 
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...
 
Pole sana dada
 
Pple sn mama Junior... May God rest his soul in eternal peace.
 
Kwa hiyo Makufuli naye ni UKAWA? Maana naye anatoka kaskazini!
We nawe. Rudi ukasome elementary logic kwanza. Kama unataka kufikia conclusion ile ile hakikisha kwanza premises zote zimezingatiwa. Hiyo kutoka tu Kaskazini haitoshi. Nadhani premise mojawapo kuu ilikuwa ni jina la Marehemu i.e Mbise (Mbise => Kaskazini => UKAWA). Angekuwa anaitwa Makoye, Chacha au Mwanisongole sidhani kama hitimisho lingekuwa lile lile. Kwa hiyo conclusion yako ni moot!​
 
May his soul rest in peace. Tumwombee kwa Muumba maana sote twaelekea huko tusimweke katkati ya malumbano yetu..
 
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...

pole sana dada, ni kukubaliana na hali na kushukuru Mungu kwa kila jambo bila kukufuru mapenzi yake yametimia, safari yake ilifika mwisho hatuna budi kusonga mbele, Mungu akupe nguvu moyo uvumilivu
busara hekima na maarifa ktk kulea mtoto dada na kusonga na maisha pia.
 
We nawe. Rudi ukasome elementary logic kwanza. Kama unataka kufikia conclusion ile ile hakikisha kwanza premises zote zimezingatiwa. Hiyo kutoka tu Kaskazini haitoshi. Nadhani premise mojawapo kuu ilikuwa ni jina la Marehemu i.e Mbise (Mbise => Kaskazini => UKAWA). Angekuwa anaitwa Makoye, Chacha au Mwanisongole sidhani kama hitimisho lingekuwa lile lile. Kwa hiyo conclusion yako ni moot!​
Nipo sahihi. Ukisema Nyerere, Wasira au Warioba, Magufuli, Kagasheki, Slaa, Mbowe, Lowassa, na hao akina Chacha, Makoye yote hiyo ni kaskazini ya Tanganyika. Ukisema Mkapa, Nandonde, Ngonyani, Komba, Ndunguru au Nchimbi yote hiyo ni Kusini mwa Tanganyika. Hiyo ndiyo Jiografia ya Tanganyika! Note: Hiyo kaskazini ina kaskazini mashariki na magharibi hiyo ya magharibi inapakana na Uganda na ya mashariki inapakana na Kenya. Lakini kwa ujumla wake kote huko ni kaskazini! Likewise kusini kuna Kusini mashariki na kusini magharibi kama Mbeya, Iringa na Rukwa. Na ukweli ni kuwa si watu wote wa kaskazini ni UKAWA! Kama ndivyo basi sema Jina la Mgombea i.e Magufuli (Magufuli = Kasakazini = UKAWA)
 
May yo soul rest in peace my dear husband...we shall foreva miss and cherish the moments we shared together as a family baba mtoto wangu.foreva loved....youur image shall foreva b in my heart and the prescious gift u left behind...

Pole na kwa Jr. Mungu amlinde na kumpa faraja kwa kumkosa dady.. Are you still in Ar??
 
Nipo sahihi. Ukisema Nyerere, Wasira au Warioba, Magufuli, Kagasheki, Slaa, Mbowe, Lowassa, na hao akina Chacha, Makoye yote hiyo ni kaskazini ya Tanganyika. Ukisema Mkapa, Nandonde, Ngonyani, Komba, Ndunguru au Nchimbi yote hiyo ni Kusini mwa Tanganyika. Hiyo ndiyo Jiografia ya Tanganyika! Note: Hiyo kaskazini ina kaskazini mashariki na magharibi hiyo ya magharibi inapakana na Uganda na ya mashariki inapakana na Kenya. Lakini kwa ujumla wake kote huko ni kaskazini! Likewise kusini kuna Kusini mashariki na kusini magharibi kama Mbeya, Iringa na Rukwa. Na ukweli ni kuwa si watu wote wa kaskazini ni UKAWA! Kama ndivyo basi sema Jina la Mgombea i.e Magufuli (Magufuli = Kasakazini = UKAWA)
Oooh Boy! Naungana na Eddo. Elimu! Elimu! Elimu! Elimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!:A S angry:​
 
Na kweli elimu itakusaidia sana. Siyo kuparamia mambo tu uliyokariri bila kuangalia context na mazingira. Nyie ndiyo mnafanya tafiti halafu mnatafsiri kwa kuzingatia mambo ya Ulaya zilikotoka nadharia husika matokeo yake tafiti zenu zinakuwa hazina faida yo yote kwa jamii. Kwa hili hata mimi naungana na Lowassa. Elimuuuuuuuuu!!! Tena Elimu ya kweli inayoendana na mazingira yetu na siyo hii ya kukariri Jiografia ya darasa la nne!
 
Gone but not forgoten. Mungu wangu nisaidie unipe faraja maana moyo wangu umejawa huzuni kwa kuondokewa na my BEST FRIEND Mbise. Am very sad. I will be missing you. RIP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom