UDSM Students' Death Announcement

UDSM Students' Death Announcement

Inauma sana unapojua kuwa Hawa wamekufa kwa sababu tu TANRODS mkoa was Iringa hawakutimiza wajibu wao. Kwakweli Mungu atusaidie ili mwezi wa kumi tupte viongozi tofauti na Hawa wa CCM.
 
yaani kuna wajinga wajinga humu wanaboa sana we huu msiba unaleta mambo ya CCM are you serious? Dreva wa Lori ni mzembe sana ukiachana na ishu pia ya tanroads maana Hata Dreva inabidi uwe makini sana ila nakubaliana na james mbatia malori yawe yanasafiri usiku maana mengi ni mabovu na kuharibika njiani ni kitu cha kawaida RIP kwa nguvu kazi iliyopotea
 
Tanroads wana lawama ndogo sana pale. Pamoja na shimo eneo lenyewe ni straight kwa zaidi ya kilometa moja na nusu. Akili ya kawaida inagoma kabisa kuwalaum TANROADS. Ukiangalia hadi Dereva wa Basi afe ujue jamaa wa Lorry alikuja line yake tena kwa ghafla, vinginevyo dereva ninavyowajua asingekubali uso kwa uso angeamua hata kulipindusha kuliko uso kwa uso. Naamini either dereva wa lorry alisinzia au alihama ghafla wakat wako jiran na basi. Mfano wake ni umbali kati ya Fire na Pale Magomeni, eneo liko clear hamna hata kona! Kwa wanaofaham wanaweza kufafanua kile nikisemacho. Ni lorry pale ndo tatizo. Bahati nzuri nimepita pale na nmeona hali ilivyo, shimo siyo sababu hasa!
 
Ni kweli mjumbe choza ndo maana unaambiwa kuwa makini barabarani Sawa tanroads ndio Wana kosa sababu ya shimo ila dreva wa lorry asilimia 80% ni mzembe ndo maana akalifuata basi na kuliparamia sababu hakuwa makini na inawezekana jamaa hakupata mambo yetu(mirungi) kama wengi wanavyotumia na mi nakubaliana na mbatia malori yawe yanasafiri usiku
 
Jamani, Mungu kwanini kawachukua vijana wadogo hawa ambao hata hawajafikia ndoto zao, kwanini asingechukua roho za mafisadi wa escrow hata 20 akawaacha hawa vijana waliokuwa wakielekea kutimiza ndoto zao. MUNGU awape uvumilivu familia za marehemu.

Kila jambo na wakati wake, RIP ndugu zetu.
 
Mpumzike kwa amani wadogo zangu.

Mwenyezi Mungu awape faraja wote walioondokewa na watoto hawa

Amina
 
Mungu awape faraja ndugu jamaa na marafiki...... Rest in peace students.
 
Majina
 
Attachments

  • 1426272322064.jpg
    1426272322064.jpg
    61.1 KB · Views: 359
wapumzike kwa amani ndugu zetu. hili ndio la nchi yetu kuondesshwa kwa matukio, kama barabara ingekuwa imetengenezwa nguvu kazi ya taifa isingepotea kirahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom