Recent content by TWIME

  1. T

    Najihisi kuchanganyikiwa....

    Mi nikupe pole tu ndugu yangu, na sijuh nikushauri nini? ila naomba niseme ushinde moyo wako . najua inauma sana na unaweza ukawa na maswali mengi yasiyo na majibu kwamba amekuonaje nk!! but ufike wakati na umshukuru mungu na usonge mbele hii ndio dunia . wanadamu waliowengi upenda kuumiza...
  2. T

    Sizielewi sehemu hizi za siri

    Aaah aah leo nimecheka sana sasa shauri wa kwanza usipende ku onja onja hizo nanii kwa maana hizo zipo za kila model lizika na ulichojaaliwa na m wenyezi mungu . kikubwahisia ziwe juu bas hata kam ni kibamia akiwa mtundu basi hata mzizi wa muhogo hauoni ndan na kwa style hii utakutana na...
  3. T

    Mchumba wangu ananitesa jamani

    my dear pole kwa yote naelewa jinsi unavyo jisikia but kwa hatua iliyofikia nisawa na mtu kusubilia ndenge stand ya basi za mbagala utachelewa safari yako na ndege haituihapo kwan so wee piga moyo konde endelea na safari yako hata kwa kuunga unga mabasi utafika pia endelea na kazi yako...
  4. T

    Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

    Hapo kuna mchezo simama kiume songa mbele hizo n changamoto tu pole lakin
  5. T

    Utumbo wote umenitoka

    Kazi kubwa hapo sas kuja kuuchokonyoa huo utumbo wa kuku kwa kin
  6. T

    embu cheka kdogo

    Hii bomba
  7. T

    Hii ndo hali halisi, tusaidiane tu kushauriana jinsi ya kuikabili

    My dear hoja yako ni mzito sana na inaitaji umakin katika kuichanganua ni sahihi kwamba maisha ya leo si km ya mama zetu n bibi zetu walioishi ya kutegemea waume zao na ht hali ya maisha iliruhusu kwa kipindi hicho but kwa hali hii ya maisha yetu bila kukimbi kimbia huku na kule mke au...
  8. T

    Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    aaah aaah hakuna kitu sio wote bwana kwan wengine vimeo ningeweza kuutangazia umma hao watu jaman mwe bora uende mby hata mitalimbo yenye mcha ipo, mwe kwa wajeuri kabira hilo sijawah kuona na kujisikia sasa utadhan watu basi ni wamejaa misifa tu anaweza kukutokea na haditrhi za samaki tu mh...
  9. T

    Ni Njia Gani Sahihi ya Kumwambia Mpenzi Wako Kuwa Hauko Tayari Kuendelea Naye?

    Jamani ! haya mambo msiyachukulie juu juu sana kwan mini napenda kujiuliza wakati unamtokea ulitumwa au ? na kama ilikua ni hiyari yako sas nini kinakubadilisha nia na ghafra kuanza kutafuta sababu zinazofaa kuwaumiza watoto wa wenzenu ! . ushauri wa bure tujifunze kutofautisha love na like...
  10. T

    Tumsaidie jamani

    Wana jf nimatumain yangu mko wazima na M/mungu anazidi kuwatetea, Mm niliku busy kidogo na kukusanya mazao ndio nimepunzika wiki hii . sas naomba tumsaidie kumpa ushauri rafiki yangu mmoja ambaye yey anamahusiano na mume wa mtu sas ni takribani miaka 8 ila katika kipindi chote hicho...
  11. T

    Je nimueleweje?

    kiukweli umenigusa sana kwan kuna watu wengi wenye hizo tabia za unyanyasaji wezao ila vumilia ni mjinga tu anataka umbembeleze ili muda wa mambo ukifika akutoe bukali mjinga tu km nanjua huyo! ni kabila gani ? ila ushauri wa bure ebu jifanye unatuma ujumbe mfufu unaonyesha umefanikiwa issue...
  12. T

    Nisaidieni.....

    sawa kabisa ulichosema nitakizingatia uzuri na yeye mhhh!! hana haraka na mm mzee mwenzie bs najione sawa kwan miaka mitatu bila hao watu nilimudu leo hii nni kinivuruge zaidi nazidi kumuomba mungu tu yeye ndiye anajua jinsi tulivyo kuhusu pesa za bamia zangu hapana yeye yuko safi...
  13. T

    Nisaidieni.....

    Uwazavyo ni sahihi na ushauri ni mzuri kabisa na nitaufanyia kazi ila kuhusu yeye finacialy , bado siwezi kumpata hata soko langu la babia na nyanya chungu lingekua kubwa vipi. Na huyu si wale wanaovizia visent vya wenzao na yeye ni mtumish wa serikali huru miaka kwa miaka any wei wacha...
  14. T

    Nisaidieni.....

    Mila na desturi za utumish wa umma na biashara
  15. T

    Nisaidieni.....

    Ni kweli bs nitarekebisha
Back
Top Bottom