Wustenfuchs
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 313
- 170
too familiar
Umesema tucheke? ha ha ha hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
kwenye marangi hayo: Kwanini macustomer care wanaorecodiwa ni wanawake tu? Why?mama: Mwanangu hebu mpigie
simu baba yako mwambie
chakula tayari
mtoto: Sawa mama
mtoto: Mama simpati
mama: Bac subir kama baada ya
dakika tano mpigie tena
inawezekana ni mambo ya
network hayo.
(baada ya 5 mins)
mtoto: Mama mimi baba simpati
simu yenyewe anapokea
mwanamke.
Mama: Kha! Sawa mwanangu
niachie mm hili swala wewe
nenda kale.
(baada ya 30mins baba akabisha
hodi akakaribishwa na bonge la
kibao hajakaa vizur akapigwa
sufuria mara mwiko ikawa balaa
kwa kwenda mbele mme
akazidiwa)
majirani wakaja kuamulia
ugomvi,kufka mme yuko chini ya
sofa hoi bin taaban
mama"------- zako wewe
kunifanyia mimi hivi unaenda kwa
malaya zko kuniacha nyumbani?"
mwanangu ebu wambie majirani
yule mwanamke alipopokea simu
alisemaje?
Mtoto: Alisema, "samahani mteja
wa nambari uliyopiga hapatikani
kwa sasa"