Mchumba wangu ananitesa jamani

Mchumba wangu ananitesa jamani

pole sna ndugu yangu hilo ndio tatizo letu wadada tukisha penda ndio basii huyo kapata mwingine piga moyo konde wangu atarudi mwenyewe huyo tu
 
wakati anakutongoza, mwny ulikuwa unapokea cm mda wote alipokupgia na kujib sms zake zote? km hapana mda huu ni zam yake. ila kiufupi hakuhitaji tena. utapata mwngine dont worry
 
pole, i can imagine the pain!...kwa uzoefu hapo inaonyesha kuna mtu kaingia...... Ss basi tubu coz im sure mlikuwa mnazini!
Then muombe Mungu, usithubutu kwenda kwa sangoma
 
Pole mpendwa, tatizo wakijua wanapendwa. Inauma lkn nashauri ujiweke busy ili usimuwazie wala kumtafuta, asije akakufanyia ya kuumiza zaidi. Tulia,akikutafuta PoA asipokutafuta tupa kule, you are too much of a woman for him hastahili kupewa upendo wa d hati huyo mana anakutesa
 
Mithali 31 :10:31 MKE /MME mwema hupatikana kwa bwana jibu tu ni hilo . huenda ulikuwa umevaa kiatu cha mtu hivyo kuna size yako omba sana mungu steg ya kuoa au kuolewa siyo mchezo,
 
Wana JF naombeni msada wenu nifanye nini,

Mchumba wangu niliyempenda sana, ghafla kakata mawasiliano na mimi nikimpigia simu hapokei sms hajibu na hakuna chochote kibaya nilichomfanyia, kibaya zaidi anafahamika kwenye familia yangu, ofisini kwangu mpaka marafiki wote wanajua nilikuwa na mahusiana nae.

Sasa najiuliza ntawambia nini hasa familia make tayari nshamtambulisha nahisi ntaonekana sijatulia hasa kwa wazazi wangu.

Huyu jamaa alifanya nikarisk kazi yangu nikawa naaga naenda kumuona mdogo wangu kumbe naenda Arusha kumuuona yeye by that time alikuwa anafanya masters yake pale Nelson Mandela.

Kwa sasa kamaliza yupo Dar sina mawasiliano nae anachofanya sijui na hata ikitokea nimepiga simu akipokea ananijibu kwa hasira as if tumegombana.

Jamani naumia sana na nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lakini sjui ni shetani gani kampata.

Naombeni ushauri wenu jamani.

Muachie MUNGU bwana kwani mmeungana nae au Dar alienda na kende zako?
 
don't let the new ID FOOL you Miss or whoever you are,mi ni born here-here friend...na katika hilo nililosema,kumekuwa na ka-trend ka machalii wanaleta zile habari za kwenye yale magazeti niliyoyataja ambayo huwa na kisegment I guess cha maanti sijui SUZY sijui anti Calorine wanaotoa ushauri wa maswali ya kizembe kama hayo ambayo yamevamia JF,mfano wa hayo maswali yaliyovamia JF;

1.U.me wangu mkubwa unanitesa,warembo wananikimbia sijui nifanye nini

2.Wake za watu wananipenda nifanyeje hii hali isiendelee

3.Boyfriend wangu sijui hapendi niishike simu yake blaa blaa blaa.....

n.k...

m

Lazima kila kitu uchangie, magazeti ya udaku kwa taarifa yako yanauzika na wanaosoma wana akili kuliko zako. Usituletee gozi gozi hapa. Kama huna cha kuchangia kula kona. Kuzaliwa kwako hakutuhusu hata kama ungekuwa FOUNDER wa hii JF bado hayatuhusu.
 
Stop texting, emailing and calling him, give him space and time uone matokeo yake. Kama akikutafuta najua atakuwa na maelezo of why he acted like that, lakini asipokutafuta utakuwa umepata jibu kuwa si wako tena.Be strong at this time and keep yourself busy.
 
Lazima kila kitu uchangie, magazeti ya udaku kwa taarifa yako yanauzika na wanaosoma wana akili kuliko zako. Usituletee gozi gozi hapa. Kama huna cha kuchangia kula kona. Kuzaliwa kwako hakutuhusu hata kama ungekuwa FOUNDER wa hii JF bado hayatuhusu.

unaonekana una kiranga mtoto wa kike,na mijitu kama nyie huwa haiolewi na kama umeolewa mumeo lazima ana nyumba ndogo nje...
mwanamke mwenye kiherehere kama chako ni nuksi katika nyumba...wewe kilichokuchonyota kukurupukia post yangu ni nini??? eti gozi gozi...pheeew!! mind your fcuken biz little w.ole,hizi ni anga mingine kbs
putta!!
 
Wana JF naombeni msada wenu nifanye nini,

Mchumba wangu niliyempenda sana, ghafla kakata mawasiliano na mimi nikimpigia simu hapokei sms hajibu na hakuna chochote kibaya nilichomfanyia, kibaya zaidi anafahamika kwenye familia yangu, ofisini kwangu mpaka marafiki wote wanajua nilikuwa na mahusiana nae.

Sasa najiuliza ntawambia nini hasa familia make tayari nshamtambulisha nahisi ntaonekana sijatulia hasa kwa wazazi wangu.

Huyu jamaa alifanya nikarisk kazi yangu nikawa naaga naenda kumuona mdogo wangu kumbe naenda Arusha kumuuona yeye by that time alikuwa anafanya masters yake pale Nelson Mandela.

Kwa sasa kamaliza yupo Dar sina mawasiliano nae anachofanya sijui na hata ikitokea nimepiga simu akipokea ananijibu kwa hasira as if tumegombana.

Jamani naumia sana na nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lakini sjui ni shetani gani kampata.

Naombeni ushauri wenu jamani.

pole sana...ndio kashakumega na anasepa...long distance relationship neva work dada asikudanganye mtu
 
Mi ndo mambo ya uchumba wa mujini mahari haijapelekwa, unamtambulisha kila mahala sitaki!!!! Watamjua siku ya harusi! Baaaaaaaaaaass!
umeona eeeh.....unatambalisha mwanaume hadi ofsini? walimuuliza au?
 
Kinachokuumiza zaidi ni watu watakuelewaje? au ni kumkosa yeye? maana kama watu kusema lazima waseme tu hiyo ndo kazi ya midomo, na je angekuoa halafu akawa anakunyanyasa ungeogopa kuachana nae watu watakuelewa hujatulia? Jitambue, Jithamini, Jipende na ujiamini. Wachumba wapo tu, kwa vile ulikuwa umeshamtambulisha huyo walikuwa wanakuogopa, lakini kwa sasa hebu badilika uwe na furaha jisemee moyoni kwamba hakuwa mwanaume sahihi kwangu hata tungeoana tungeachana, mshukru Mungu kwa kilichotokea yeye ndo anajua sababu. Jipende mwenyewe kwanza then utampata atake kupenda. maisha ni haya haya hatuishi mara mbili usipoteze mda kumuwaza binadamu. Najua ulimpenda hebu jaribu kumsahau futa namba yake ya simu.
 
unaonekana una kiranga mtoto wa kike,na mijitu kama nyie huwa haiolewi na kama umeolewa mumeo lazima ana nyumba ndogo nje...
mwanamke mwenye kiherehere kama chako ni nuksi katika nyumba...wewe kilichokuchonyota kukurupukia post yangu ni nini??? eti gozi gozi...pheeew!! mind your fcuken biz little w.ole,hizi ni anga mingine kbs
putta!!

Inaonyesha kiasi gani umechezwa ngoma za kike mwanaume mtu mzima wewe. Unaongea kama umemeza mp3 (un-cultured). Hapa kila mmoja anaruhusiwa kutoa hisia, unapokuja na frustruation zako nahisi this is not the right place. Nenda jando, unanyogoni waachie wanawake. Mwanaume mwenye maneno mengi ana ualakini!! jifunze kutoka kwa wanaume wenzio.
 
uchumba siyo ndoa, ndoa yenyewe siku iz watu wanasepa sembuse uchumba.mfanyie :wave::wave::wave: na yeye,siyo mwanaume pekee duniani. Don't :Cry: and :A S confused:. si huna :mimba:yake?Relax jipe good time, kama ni wako ni wako tu atakuja kama siyo kwanini ujiumize?humtendei haki mume wako mtarajiwa atakukuta na majeraha mengi my dia
 
my dear pole kwa yote naelewa jinsi unavyo jisikia but kwa hatua iliyofikia nisawa na mtu kusubilia ndenge stand ya basi za mbagala utachelewa safari yako na ndege haituihapo kwan so wee piga moyo konde endelea na safari yako hata kwa kuunga unga mabasi utafika pia endelea na kazi yako mungu atakupa fungu lako achana nae hao watu huwa niwapuuzi sana hivyo kuna mambo mawili moja ukute kapata wa kumfuga au la kajiona amepanda bei sasa wewe muona wa bei gan usipofanya hivyo atakuchukulia muda wako na hutofanya mambo ya msingi siwapendi hawa wenzetu mh mungu nisameh
 
mm nikimzimia mtoto wa kike ni kumtia mimba tu sitaki drama kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom