kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,250
- 13,257
Hiyo kweli, maana ukimjali mtu anaona unajikomba kwake.
Samahani kujikomba ndio nini?
Hiyo kweli, maana ukimjali mtu anaona unajikomba kwake.
mi ni " me "Wewe ni 'Me' au 'Ke'?
unajipendekeza kwa mtu upate labda kitu fulani.Samahani kujikomba ndio nini?
mi ni " me "
^^
kumbe uamuzi ulishafikia ila upo tu kusumbua akili zetu.
^^
mi ni " me "
labda kweli, ila ajabu ikifika jioni hajapata sms ya kutoka kwangu anadai "mbona umenichunia leo rafiki yangu?' nashindwa kumwelewa make yeye ndo aloweka masharti.
tumesaidiana vitu vingi ikiwemo pesa ya kujikimu chuo ndugu yangu, wengine chuo maisha yalikuwa magumu sasa ukipata mtu wa kukubeba inabidi ushikilie.sasa me mwenzio anakupa presha?
Hiyo kweli, maana ukimjali mtu anaona unajikomba kwake.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?