Recent content by TwiGa_Tz

  1. TwiGa_Tz

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    SEMA SASA NO JOKING MIMI, HAPA NMEMWAMBIA BRAZA AKAANZA KUTABASAMU AKASEMA NMLETE ULIPO NIKAMWAMBIA UPO JF
  2. TwiGa_Tz

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    KAKA YANGU HADI LEO HII ANAHANGAIKA KUTAFUTA MKE WA KUMUOA, KILA ANAYEPATA ANAKUWA MZUGAJI KWAKE MWISHO WANAACHANA... KAMA UPO VERY SERIOUSLY NIJUZE MUWASILIANE NAE, NITAFURAH KUKUITA SHEM, MAMA ATAKUITA MKWE NA DADA ATAKUITA WIFI
  3. TwiGa_Tz

    TB Joshua aondoa utabiri wa ushindi wa Clinton Facebook

    Hii imenifanya nicheke sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. TwiGa_Tz

    Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

    Msipende kukaribishwa karibu milo yote kwa siku... Hasa ww nakuona unanenepa sana
  5. TwiGa_Tz

    MTU PEKEE AMBAYE MWANAMKE ANAWEZA KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA AKAMUELEWA

    Hapo umeamka na akili za usiku blaza...
  6. TwiGa_Tz

    Lengo la kunywa pombe

    Lengo Ni lishe, kinywaji na chakula kizuri kwa afya ya akili
  7. TwiGa_Tz

    Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwan Ndege/rocket hutumia mkaa au kuni...? Ule sio moshi wala mstari, Bali ni wingu linalijichora kutokana na speed ya chombo kinachopita kwa kasi angani [emoji574] Kumbuka hata gari, binadam, baiskel na wanyama n. K huacha alama barabaran baada ya kupita...
  8. TwiGa_Tz

    Huyu kijana ananichanganya

    MPENZI WA KWELI HAPATIKANI KWA KUBADILI WAPENZI...
Back
Top Bottom