Huyu kijana ananichanganya

Huyu kijana ananichanganya

Kwanza hongera kwa kumpenda. Pili huo umbali mlioko ndicho chanzo cha mabadiliko yaliyoko kati yenu. Suluhisho ni nyie wawili kuitana sehemu moja na kujaribu kurekebishana. Hakuna litakaloweza kuwaweka sawa kama hamtakaa na kuambiana ukweli wa mwenendo wa kila mmoja.
 
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.

Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?
me nilidhani utaomba ushauri namna ya kumweka katika himaya yako,acha kukimbia ukweli
 
Daaah naona kijana mwenzangu anaenda kuumia soon. .....kuachwa inauma sana kama mnaweza pliz mkae mezani muyamalize.....besides, unapempenda. .....mwisho wa Siku wewe ndo mwamuzi nayeye pengine tuponae hapa anasoma huu uzi
 
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu. Kabadilika ghafla na mimi pia nimebadilika lakini ni ukweli kuwa nampenda kutoka moyoni (lakini sipendi ajue hili). Japo nampenda sana lakini nataka kumuacha.

Naomba msaada wa mawazo. Nawezaje kumove on na kwa mtu ninayemfeel kama hivi?
MPENZI WA KWELI HAPATIKANI KWA KUBADILI WAPENZI...
 
Nishafanya hivyo zaidi ya Mara 3 tunaachana kesho yake ananipigia simu na kulia lia tunayamaliza coz bado nampenda this time nataka nimuache kabisaaa
Unachekeshaaa Unamwachajee MTU unayempenda NA yy bado anaonyesha ana kupenda?
 
fanya tu kama switch ya umeme inavyofanywaga just simple and clear ya nini kujipa mastress
 
Manapo leta tatizo humu jamvin muwe mnafunguka kabisa. unataka umuache sababu nn? funguka mrembo tukushauri, hata kama hakufikishi mlima kitonga we sema tu.
 
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).

Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz hatukuwa na future yoyote zaidi ya kuenjoy Neema za Mungu

kama hukuwa na future naye haina haja ya kuumia kwani mwambie tu kuwa tumefikia mwisho wa movie yetu atakuelewa kama na yy alikuwa hana future na ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom