Recent content by twentizoh

  1. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asakata Rhumba baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hosteli UDSM

    Hosteli za udsm ni mpya zimeanza kujengwa tangu alipotoa agizo hilo...na leo ndo ameenda kuweka jiwe la msingi
  2. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Msukule azua taharuki mkutano wa Bishop Gwajima, Mbezi Luis

    Kwa nini hizo nguvu zinazotumika kuwarudisha watu misukule...zisitumike kufufua watu hospitalini... Au ni kitu ambacho hakiwezekani kwa miaka ya sasa
  3. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

    Wanawake bwana sijui wapoje,ukiwa boya watakuendesha miaka buku,, mimi kuna demu nilikuwa nae kwnye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja,baada ya hapo hatukuonana kama miezi 3 hivi kwa kuwa nilienda kikazi mkoa fulani,,aada ya hapo akaanza kuniletea maringo kibao, nyodo kibao,, siku naamka nakuta...
  4. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Nimeamua, sihongi tena

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  5. twentizoh

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kijana Omar Ramadhani, amuombea Rais Magufuli viwanja vya Sabasaba

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu jamaaa bwana
  6. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnapatwaga na ibilisi gani?

    Ukiona mtu analia kisa demu ujue alimuamini snaa na huenda akawa amejiaminisha hakuna mzuri kama yeye.....ila ukwel ni kwamba...pale unapoamua kutuliza akili baada ya kuachwa....akili mpya huanza kukujia...hali ya kumsahau huanza....kumshusha thamani taaratibu.....na mwsho wa siku hata kujiona...
  7. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Naachana na mke wangu rasmi

    Nitafute nikupe hata buku jero ya vocha....[emoji12]
  8. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi unapoachwa

    Hapo umenena mbaba...kimya kingi kina mshindo mkuuuu.
  9. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi unapoachwa

    Hahahahaha
  10. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Sikujua mapenzi yana nguvu namna hii, nahisi kufa kufa

    Mademu pasua kichwa
  11. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Changamoto niliyokutana nayo nilipokwenda Pharmacy kununua Condom

    Mm nikimkuta mmama ndo kabisa nageuza
  12. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

    Pole sna mkuu...fanya kama unampotezea km week kadhaa hv then sikilizia...hisia za mtu kupenda huwa zinaondoka zenyewe taratibu...mwsho wa siku mtu unamchukulia kawaida 2...
  13. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Demu wa dizaini hyooo sku ukimpata ni kumfumua na kumwaga hpo hpo...hata hela ya nauli hapewi
  14. twentizoh

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni Uhuru au utumwa?

    The way unavyoishi na mpenzi wako....utafanya mapenzi yawe utumwa au yasiwe utumwaaa...si ushaambiwa uishi na mwanamke kwa akili...
Back
Top Bottom