chilundu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 347
- 229
Hahaaaaa hapa kazi tusalaam wana jf,
Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,
yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,