Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma

Kijana pole sana....mie yamenikuta hayo.niliumia sana tena sana....ila nikaamua kumtumbua jipu tu hamna namna.....ila kikubwa nilivyoona haeleweki nikaamua kumuwekea vikwazo vya kiuchumi...........muacha pasipo mjulisha mwanaume hamwaachi binti kwa maneno magumu.ila usiwe wa kukupeleka peleka ukamrudia....Mungu atakupa mwema,mpole na mwenye mapenzi ya dhati kwako......MUACHE AENDE ATAKUKUMBUKA SANA atapotekwa na vijana wa mwendokasi

pole kumbe tupo wengi tunaougulia maumivu...poleni..ipo siku maumivu yetu yatakwisha na tutasahau kabisa,,,hakika tujifunze kumuacha aende...
 
Utoto tu unamsumbua, ila inakupasa kuzingatia yafuatayo.:

1.anatake advantage kwamba akirudi na kuomba msamaha utamsamehe tu maana ndivyo ufanyavyo.

2. Anajua unampenda na huna ujanja .

3. Wewe ni dhaifu mbele yake .

Wewe ndo umemfanya awe hivyo nakuhakikishia atarud soon na kwakuwa wewe ni libukeni utampokea na hata hapa hutarudi kutujuza, kwahiyo pumzika mngoje afanye yake atarudi tu
 
Kuachwa bila sababu ndio mshahara wa kua "Too Sweet" kwa mwanamke.

Kwa kifupi umeshindwa kua mwanaume. Wanawake hua wanatabia ya kukupima uanaume wako kwa kukufanyia vituko. Sasa ukimruhusu akifanyie vituko bila kumuonya anaishia kukudharau kama Mwanaumd na kupoteza hamu ya kua na wewe tena.

Cha kufanya
Usikubali mwanamke akufanyie vituko. Wala usiache akufanyie mambo ambayo huyapendi na wewe ukae tu bila kusema chochote ama kilichokukuta kitaendelea kukukuta tena na tena. Wanawake wote wanapenda Wanaume wanaoweza Kujisimamia na Kuwakosoa pale wanapokosea. Badilika rafiki yangu.
 
Ndugu zangu.. nimeongea nae leo mchana. Kaniambia kosa langu ni kwa sababu nilimuuzi jana ucku wakati nilipomuuliza kwa nini hakupokea simu wala kujibu sms yangu? Eti ndio kosa... langu.

Alafu.. yeye kaniambia kuwa mimi huwa namletea stress sana. Nikijiangalia ni stress gani sizioni. sion sababu.. sioni chanzo ya mimi kumletea stress...

Nimekuwa nikimsaidia sana.. kwenye shughuli zake.. mpaka ndugu zake wanashangaa..
mapenz yangu.. misaada yangu leo inaitwa stress...?

Huyu si alikuwa ananitafutia tu sababu ya kuniacha?

Jibu rahisi mwambie kuanzia leo tuachane maana sijisikii vizuri kuwa mtu wa kukuletea stress. Kama hutaweza kumwabia hivyo na ukawa na msimamo thabiti usije tena hapa jukwaani kutulilia tena maana utakuwa umeyataka mwenyewe. Nadhani umeona wachangiaji wengi wanayokushauri. Kwahiyo usiendeshwe zaidi na hisia kuliko uhalisia la sivyo utaharibikiwa. Kwakuwa umekuja hapa kutafuta ushauri basi fanyia kazi huo ushauri.
 
Kagundua wewe huna hela kama sio kweli basi weka picha yako na yake tuwaone kama mnamatch isije ikawa mmoja kama Remmy Ongala na mwingine kama Beyonce
 
kwani mahari kitu gani. Kwani wewe hujawahi kupoteza pesa au kupata hasara kwenye biashara zako?Basi mahari ichukulie kama hasara na maisha yaendelee.
Kama hujamuoa ila umelipa mahari unaweza kwenda kuichukua ikiwa umeona huwezi kuishi na mtoto wao.
 
1476136894517.jpg
pole sana
 
kuna uzi wa "JIFUNZE KUMUACHA AENDE" ulinisaidia sana
bado una akili ya kitoto,ukikua utakumbuka kumbe ulikua unafanya upuuzi mkubwa

tafuta pesa achana na huo upuuuzi
 
Kifupi licha ya kufungua uzi huu hukupaswa hata kufikiria kufungua uzi wa namna hii tunaposema wanamume tunazidi kupungua kwa kasi ya UDART ni pamoja na kuangalia takwimu kama hizi. Rangi zote umeisha ziona bado unakuja kuomba ushauri kuhusu hili? ngoja nikwambie kwa sauti ya huruma "nenda tu kambembeleze "
 
Wanawake bwana sijui wapoje,ukiwa boya watakuendesha miaka buku,, mimi kuna demu nilikuwa nae kwnye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja,baada ya hapo hatukuonana kama miezi 3 hivi kwa kuwa nilienda kikazi mkoa fulani,,aada ya hapo akaanza kuniletea maringo kibao, nyodo kibao,, siku naamka nakuta sms naomba tuachane sitaki tena kuwa na wewe,, nikaona isiwe kesi, nikamjibu poah nimekuelewa full stop..imepita miaka mitatu nmekutana nae barabarani maeneo fulan hapa DSM,, baadae kabisa anataka turudiane...anaSema alifanya makosa makubwa kuniacha..nikamkubalia nikamwambie tukutane sehemu,akakubali nikala tunda vizur tu, baada ya hpo nikamwambia sikutaki tena...nikamblock na sikumtafuta tena toka siku ile hadi leo...usiendeshwe na mwanamke hata siku moja.
 
U have failed to be a man... Lazima uachwe tu... Hawez demu akakugeuza property yake ya kuwa anakuacha anapotaka na kukurudia anapotaka afu bado unasema we Kidume.
Fanya uchukue Bible soma kale ka msistar kaliko andikwa tuuishi nao kwa akili.. Katafakar miez 3 halafu anza upya sio ujinga
 
Kati ya kitu nilichoepuka ni kunyenyekea mwanamke tena ambae sijamuoa
Hapo mwanzo kuna mmoja alinitesa mno akajiona mjanja,aliposikia naoa acha ajilete
 
Shukuru amekwambia hajisiki kua na wewe,usilazimishe kupendwa huyu hata utole jicho lako moja umpe na wewe ubakie kipofu maisha yako yote kama hakupendi hakupendi tuu,sasa usilazimishe,staki mwenzie basi jikaze kiume songa mbele..
 
Back
Top Bottom