Duh kiukweli hii ni kashfa kubwa sana kwa familia ya rais na akiwa kama mkuu wa nchi najua ana wasaidizi ambao wanatakiwa wakanushe hii habari na kuchukua hatua stahiki lakini kumuachia Miraji tu akanushe haitoshi vinginevyo issue hii itaacha maswali mengi yasiyo na majibu kifupi kuna walakini hapa
Mi nadhani argument zote ni sawa kabisa hapa ila watu mnatofautiana kimawazo sema mtoa mada ameshindwa kuweka point sawa na ameshindwa kuelezea kinachoendelea ndani ya mkataba wa mto Nile! Chini ya mikataba ya mwaka 1929 na 1959 asilimia 90 ya maji ya mto Nile yametengwa kwa ajili ya Misri. Na...
Kwani chama kikimtangaza mtu wake wanayetegemea atagombania uraisi kabla ya muda wa uchaguzi ambao utatangazwa na Tume kuna kosa gani hapo? Chama kumtangaza mtu wake kuna taratibu zake ambazo sidhani kama zinaingiliana na taratibu za tume ya uchaguzi ambazo zinazuia tu mtu kuanza kampeni kabla...
Acha kushabikia ujinga anasema ukweli hupi?? na wala usidhani kila anyeingia humu hana kazi ya kufanya...kila mtu ana shughuli yake humu walioshindwa kazi ni hao ambao wanakula kodi zetu na kushindwa kuiondoa nchi katika umaskini huu wamekalia kuchonga midomo tu
Waziri wa Kazi na Ajira Bi.Gaudentia
Kabaka akitoa tamko la Serikali kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu
ya usitishwaji wa utaratibu
wa kukodisha wafanyakazi unaofanywa na baadhi ya mawakala binafsi wa huduma za
ajira wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa idara ya...
Serikali imekuwa inakopa kutoka masoko ya biashara kwa gharama kubwa na deni la taifa linaongezeka kwa kasi. Deni la taifa limeongezeka kutoka Sh5.9 trilioni mwaka 2007 sawa na asilimia 28.4 ya pato la taifa, alisema Profesa Lipumba na kuongeza:
Jambo hilo limesababisha kufikia Sh22 trilioni...
Sasa hapa sielewi ina maana uanachama Zitto alishavuliwa tayari basi kuna maana gani akaitwa mbele ya CC kujitetea hapa kama hainingii akilini hivi? Demokrasia hiko wapi kwa style hii kwa chama ambacho tulikitegemea kuja kufanya mageuzi kumbe na wao ni walewale!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.