Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

Kuna mambo mengine tunaandika utafikiri sio watanzania. JK amekosea nini kusema hivyo?

..nadhani Egypt wanataka kututumia ktk huu mgogoro wa matumizi ya mto Nile.

..sasa hivi wametupa msaada wa ujenzi wa kitengo cha utafiti wa urology ktk hospitali ya Muhimbili.

..pia walitoa msaada wa kuchimba visima 30 vya maji ktk maeneo ya Shinyanga, na kuahidi kuchimba visima vingine 70.

..nadhani misaada hiyo ndiyo inawalainisha viongozi wetu na kuanza kutoa kauli wanazozitoa.

cc Jasusi, Kiranga, Nguruvi3, Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
Niliandika huo ujumbe kutokana na maneno yako haya hapa chini. Ethiopia kashika Mpini wa Blue Nile.

Will the Ethiopians be cool if the Ugandans were about to construct a water flow altering damn without seeking mutual understanding? Ridiculous.

Nimefahamu kwamba kuna Nile mbili kabla ya kusoma kitabu cha Jiografia cha darasa la nne cha "Wafanyakazi wa Afrika" na habari za ulimaji wa Pamba Sudan, habari za Wadi Hadad (Wad Al hadad) mpaka kwenye al-Mogran hapo Khartoum zinapokutana White and Blue Nile. Kwamba nafahamu kuwa kuna Nile mbili nilijua tangu nina miaka 9 kama si kabla.

Nile mbili zinakutana Khartoum, iliyo kusini mwa Masr (Egypt). Kwa hiyo hili haliondoi concern za Egyptians.

Kuna mtu alisema mbona Egyptians walijenga bwawa, Egypt kwao ndiko mto unapoishia, kujenga bwawa kwao hakuwakoseshi maji watu walio upstream, get your geography right people. the question should be centred about how to build a consensus and build these damns without escalating issues to a conflict level.

Sijaona alichokosea Kikwete mpaka sasa. kwa sababu Kikwete katoa statement inayotetea upatikanaji wa suluhu na kutovunjwa kwa amani miongoni mwa majirani zetu.
 
Niliandika huo ujumbe kutokana na maneno yako haya hapa chini. Ethiopia kashika Mpini wa Blue Nile.

That does not necessarily have to be the Nile, the conception is still valid, that, it is rational and reasonable for upstream countries to consider the needs of downstream countries and engage in consesus building exercises as much as possible before embarking on large and hydroecologically significant projects.

As long as they are truly vested in the ideals of peaceful coexistence and neighborly diplomacy.

Or, as Bob Marley sang in a musical rendition of that famous H.I.M Selassie speech.

Everywhere is waaar, oh me say waaar...
 
Mwenye SHIBE hamjui mwenye njaa. Walio chini watajibeba, si ndiyo karne ya 21 hii tunasema. Nimekuelewa ulichoandika.
That does not necessarily have to be the Nile, the conception is still valid, that, it is rational and reasonable for upstream countries to consider the needs of downstream countries and engage in consesus building exercises as much as possible before embarking on large and hydroecologically significant projects.
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.

Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.

Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.


View attachment 141763



we ni -------- au umetumwa na kagame,,kama hunatumwa unawashwa na 0713.....
 
Mi nadhani argument zote ni sawa kabisa hapa ila watu mnatofautiana kimawazo sema mtoa mada ameshindwa kuweka point sawa na ameshindwa kuelezea kinachoendelea ndani ya mkataba wa mto Nile! Chini ya mikataba ya mwaka 1929 na 1959 asilimia 90 ya maji ya mto Nile yametengwa kwa ajili ya Misri. Na hapo ndipo Misri inapotaka kutetea katika mkataba huo uendeleee kubaki kama ulivyo, sasa sijui kama statement ya JK ina base upande huu alipokuwa akiteta na huyu waziri wa Egypt.Nchi zilizo katika njia ya mto huo kama Uganda, Kenya na Ethiopia yanasema hali hiyo ni dhuluma kwao na yanataka mpango mpya na kwa kipindi cha miaka kumi na mitatu ya majadiliano hakuna makubaliano yaliyofikiwa. Kwa mfano Ethiopia, ambayo ina chanzo cha Blue Nile - inachangia takriban asili mia 85 ya maji ya mto Nile lakini hairuhusiwi kutumia maji yake. Je hapo ndo pa kujiuliuza Je JK amesimamia wapi katika hii statement yake makubaliano mapya ambayo Nchi saba za eneo la Afrika ya Mashariki zimetiliana sahihi mkataba utakaoziruhusu matumizi ya maji zaidi ya kile kipimo kilichozikwaza chini ya mkataba wa mwaka 1959 au kwa upande wa Misri na Sudani ambazo zinatetea mkataba wa mwaka 1959? Na kufika mbali kudhiaki kabisa eti nchi hizo zina mvua za kutosha hazipaswi kulalama!
 
Kabla hata sijasoma comments za wadau (Watanganyika) nimegundua we mleta uzi sio Mtanganyika..
Unataka kuleta ***** ***** zisokua na mbele wala nyuma..
Eti JK has no jurisdiction on Nile river..we ni mwehu
River Nile inatoa maji wapi...?? na hapo ambako mto Nile unapopatia maji hilo ziwa linapatikana kwenye nchi zipi..?? na kati ya hizo nchi sehemu kubwa ya ziwa liko nchi gani..?? na hiyo nchi raisi wake anaitwa nani..?? Na msemaji mkuu wa nchi ni nani...?? Mwisho nini maana ya neno jurisdiction..??
Ukipata majibu ya hayo maswali toa uzi wako wa kichochezi...maana maelezo yako tu yanajionesha upande uliopo
 
it is rational and reasonable for upstream countries to consider the needs of downstream countries and engage in consesus building exercises as much as possible before embarking on large and hydroecologically significant projects.
.
Very well said mkuu
 
Lugha ya kiingereza inamsumbua president na hata raia, shule za kata nazo zinafaulisha kwa mtindo wa kubadili mfumo wa kupata matokeo pia
 
Sijaelewa hilo bango, ila kwa kweli Misri kuendelea kuitegemea mikataba iliyowekwa na wakoloni ni sawa na kusubiri ndege stendi ya basi.

Ni bora wangeanza kutafuta njia mbadala za kupata maji kuliko kuendelea kuitegemea Nile ,itawakosti.....

Kadri siku zinavyoenda ndio jinsi ambavyo maji yatafuatwa popote yalipo/yanapopatikana.

So badala ya kulumbana ni bora wangetumia muda huu kutafuta vyanzo mbadala.......tulianza Tanzania tukatoboa ziwa victoria.......leo Ethiopia wanajenga bwawa.......Nadhani na Uganda walishajenga au wanajenga (sina uhakika sana).....kesho tutasikia Sudan nao wanakuja na mipango yao juu ya mto Nile.
 
Tunakaazi kweli kumtetea mtu tuliemzidi akili!! Haijui hata jiografia ya mto Nile!!
 
Sijaelewa hilo bango, ila kwa kweli Misri kuendelea kuitegemea mikataba iliyowekwa na wakoloni ni sawa na kusubiri ndege stendi ya basi.

Ni bora wangeanza kutafuta njia mbadala za kupata maji kuliko kuendelea kuitegemea Nile ,itawakosti.....

Kadri siku zinavyoenda ndio jinsi ambavyo maji yatafuatwa popote yalipo/yanapopatikana.

So badala ya kulumbana ni bora wangetumia muda huu kutafuta vyanzo mbadala.......tulianza Tanzania tukatoboa ziwa victoria.......leo Ethiopia wanajenga bwawa.......Nadhani na Uganda walishajenga au wanajenga (sina uhakika sana).....kesho tutasikia Sudan nao wanakuja na mipango yao juu ya mto Nile.

Wachunguzi wa mambo wanasema kuna uwezekano mkubwa vita zinazokuja zikawa vita za maji.

Kwa kuangalia context hiyo Kikwete hawezi kukosolewa kwa kutaka suluhu na makubaliano katika mambo ya maji ili kuzuia vita.

Nakumbuka mashairi ya rapper Mos Def katika wimbo wake wa "New World Water" - a pun on "New World Order" that hints at how the struggle for water is changing the world.

"New World Water"

[Mos Def]
There's nothing more refreshing (that cool refreshing drink)
Than a cool, crisp, clean glass of water
On a warm summer's day (That cool refreshing drink)
Try it with your friends

New World Water make the tide rise high
Come inland and make your house go "Bye" (My house!)
Fools done upset the Old Man River
Made him carry slave ships and fed him dead nigga
Now his belly full and he about to flood somethin
So I'ma throw a rope that ain't tied to nothin
Tell your crew use the H2 in wise amounts since
it's the New World Water; and every drop counts
You can laugh and take it as a joke if you wanna
But it don't rain for four weeks some summers
And it's about to get real wild in the half
You be buying Evian just to take a fcukin bath
Heads is acting wild, sippin poor, puffin dank
Competin with the next man for higher playin rank
See I ain't got time try to be Big Hank,
*** a bank; I need a twenty-year water tank
Cause while these knuckleheads is out here sweatin they goods
The sun is sitting in the treetops burnin the woods
And as the flames from the blaze get higher and higher
They say, "Don't drink the water! We need it for the fire!"
New York is drinkin it (New World Water)
Now all of California is drinkin it (New World Water)
Way up north and down south is drinkin it (New World Water)
Used to have minerals and zinc in it (New World Water)
Now they say it got lead and stink in it (New World Water)
Fluorocarbons and monoxide
Push the water table lopside
Used to be free now it cost you a fee
Cause oil tankers spill they load as they roam cross the sea
Man, you gotta cook with it, bathe and clean with it (That's right)
When it's hot, summertime you fiend for it (Let em know)
You gotta put it in the iron you steamin with (That's right)
It's what they dress wounds and treat diseases with (Shout it out)
The rich and poor, black and white got need for it (That's right)
And everybody in the world can agree with this (Let em know)
Consumption promotes health and easiness (That's right)
Go too long without it on this earth and you leavin it (Shout it out)
Americans wastin it on some leisure shit (Say word?)
And other nations be desperately seekin it (Let em know)
Bacteria washing up on they beaches (Say word?)
Don't drink the water, son they can't wash they feet with it (Let em know)
Young babies in perpetual neediness (Say word?)
Epidemics hopppin up off the petri dish (Let em know)
Control centers try to play it all secretive (Say word?)
To avoid public panic and freakiness (Let em know)
There are places where TB is common as TV
Cause foreign-based companies go and get greedy
The type of cats who pollute the whole shore line
Have it purified, sell it for a dollar twenty-five
Now the world is drinkin it
Your moms, wife, and baby girl is drinkin it
Up north and down south is drinkin it
You should just have to go to your sink for it
The cash registers is goin "cha-chink!" for it
Fluorocarbons and monoxide
Got the fish lookin cockeyed
Used to be free now it cost you a fee
Cause it's all about gettin that cash (Money)

Said it's all about gettin that cash (Money) [x9]
Johny cash (Money)
Roseland cash (Money)
Give me cash (Money)
Cold cash (Money)
[Repeat to fade]

Cash rules everything around me,
Move!


MOS DEF LYRICS - New World Water
 
Kabla hata sijasoma comments za wadau (Watanganyika) nimegundua we mleta uzi sio Mtanganyika..
Unataka kuleta ***** ***** zisokua na mbele wala nyuma..
Eti JK has no jurisdiction on Nile river..we ni mwehu
River Nile inatoa maji wapi...?? na hapo ambako mto Nile unapopatia maji hilo ziwa linapatikana kwenye nchi zipi..?? na kati ya hizo nchi sehemu kubwa ya ziwa liko nchi gani..?? na hiyo nchi raisi wake anaitwa nani..?? Na msemaji mkuu wa nchi ni nani...?? Mwisho nini maana ya neno jurisdiction..??
Ukipata majibu ya hayo maswali toa uzi wako wa kichochezi...maana maelezo yako tu yanajionesha upande uliopo

Blue Nile source yake ni Ethiopia
 
Tatizo wewe pia hujaelewa walichochukia waEthiopia: . WaEthiopia wapo concerned with the fact that he stated the nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.
Can you place the exact qoute please!
 
Nimesoma mara mbili mbili, lakini sijaona tatizo kwenye statement hii inayosemwa ni ya JK!
Anasema kilichowaudhi ni....

Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river.
 
Sijaelewa hilo bango, ila kwa kweli Misri kuendelea kuitegemea mikataba iliyowekwa na wakoloni ni sawa na kusubiri ndege stendi ya basi.

Ni bora wangeanza kutafuta njia mbadala za kupata maji kuliko kuendelea kuitegemea Nile ,itawakosti.....

Kadri siku zinavyoenda ndio jinsi ambavyo maji yatafuatwa popote yalipo/yanapopatikana.

So badala ya kulumbana ni bora wangetumia muda huu kutafuta vyanzo mbadala.......tulianza Tanzania tukatoboa ziwa victoria.......leo Ethiopia wanajenga bwawa.......Nadhani na Uganda walishajenga au wanajenga (sina uhakika sana).....kesho tutasikia Sudan nao wanakuja na mipango yao juu ya mto Nile.

Na muonja asali haonji mara moja, kama kumbukumbu zangu zipo njema, nadhani bado Tanzania wanampango wa kutoboa tena ziwa ili kupeleka maji Tabora......

Sasa kila anayefikiwa na Ziwa Victoria akitoboa, walah baada ya miaka mia moja ijayo hatuna ziwa wala Nile.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa......
 
Pro-Chadema uwa nawashangaa sana yaani upinzani kwao na rais Kikwete umevuka mipaka wapo radhi kushirikiana na mataifa ya nje yenye nia mbaya na Tanzania, hawana tena uzalendo.
 
..nadhani Egypt wanataka kututumia ktk huu mgogoro wa matumizi ya mto Nile.

..sasa hivi wametupa msaada wa ujenzi wa kitengo cha utafiti wa urology ktk hospitali ya Muhimbili.

..pia walitoa msaada wa kuchimba visima 30 vya maji ktk maeneo ya Shinyanga, na kuahidi kuchimba visima vingine 70.

..nadhani misaada hiyo ndiyo inawalainisha viongozi wetu na kuanza kutoa kauli wanazozitoa.

cc Jasusi, Kiranga, Nguruvi3, Geza Ulole
MKuu JokaKuu , mimi sikubaliani na kauli ya JK kuhusu mto Nile.

Nakumbuka wa Egypt walikataa Tanzania isipeleke mradi wa maji Shinyanga ambao unge extend hadi maeneo mengine kwa kuhofia kupungua kina cha maji.

In rare cases ambazo namsifu Lowassa bila kusahahu hujuma alizozitendea taifa hili ni pale alipokuwa waziri wa maji.Lowassa alisimama kidete kuwakatalia wa Egypt kwa hilo.

Misri wakasema Gamal Abdiel Nasar aliwahi kusema uhai wa Misri upo mto Nile na yupo tayari kwenda vitani kwa hili akitishia kuishambulia Tanzania. Hata ilipokwenda katika ngazi ya kimataifa Egypt walishindwa.

Wamisri wakaahidi kuchimba visima ambavyo hawakurudi tena baada ya kuona issue imetulia.
Kujenga Urology ni mbinu zile zile za kumlisha ng'ombe mashudu ili ukamue maziwa.

Rais Kikwete atambue wenzetu wanatumia rasilimali wazlizo nazo kuendeleza nchi zao.
Ni jambo na ujinga wa hali ya juu kuagiza mchele kutoka Misri badala ya kutumia resource tulizo nazo kufanikisha miradi hiyo.

Ni jambo la kushangaza kwamba watu wa Shinyanga na Singida wafe wa kiu ya maji kwasababu ya kuwafikirika wamisri.

Ethiopia wanajenga mradi mkubwa kwa maendeleo ya nchi yao ili waondokane na handout.
Hilo lazima Kikwete alitambue na lisitumiwe kuidhalilisha nchi.

Hana sababu za ku rally watu wengine kama yeye hawezi ku deliver kwa resource zetu.
Kutokana na kufanya kila jambo kwa njia za kisiasa, Tembo na Twiga wanakwisha huku serikali ya JK ikijua wanapouzwa na nani anauza. Ameridhika rasilimali zimalizwe ili kufurahisha watu.

Watanzania lazima tusimame katika ukweli na huu ni ukweli kuwa handout anazotafuta Kikweta hazisaidii hata kidogo katika maendeleo yetu zaidi ya kutufanya tuonekane omba omba.

Ujenzi wa kituo cha Urology hauhitaji msaada wa Egypt.Posho za 30,000 kwa watu 600 kwa siku 90 zinataoka wapi kiasi cha kushindwa kujenga Unit ya Urology?

Juzi hazina bilioni 480 zimetoweka achilia mbali mizigo ya ufisadi na wizi kama hesabu za CAG zinavyoonyesha.Leo tunashindwa kusimamia hayo tunawalaumu wanaojipangia maendeleo yao.

Kauli ya JK haifai kwa kuangalia mambo mengi, ni kauli aliyoitoa kisiasa na si kiuchumi
Ni kauli ya kupendeza watu na kusahahu watu wake.

Sikubaliani na kauli zake na sijui hotuba zake ana zifanyia review na analysis au anaamka na kusoma tu.
I totally disagree kwa hili. JK is wrong
! Kikwete is wrong
 
Back
Top Bottom