Recent content by Tuya

  1. Tuya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya waitress

    haaaaa kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
  2. Tuya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza duka au hotel

    Kwani kipi cha ajabu au unataka kuolewa?
  3. Tuya

    JamiiForums Tanzania Ni kama bahati tu lakini wameizima

    pole ndugu yangu mambo kama hayo kwa hapa bongo mbona kawaida tu we unazani ni kwanini wabongo hatuendelei
  4. Tuya

    JamiiForums Tanzania Kamata fursa hii

    Hahahahaha
  5. Tuya

    JamiiForums Tanzania Kutuma maombi ya kazi TANROADS

    we fuata maelekezo je wamesema upeleke kwa mkono au kwa post. Na njia sahihi nikupeleka kwa post .
  6. Tuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichonikuta jana kwa rafiki yangu

    Kumbe unatumia Tekino alafuu mwanaume ushafikia kuitwa baba bado upo na badoo tu? unajifunza nn kule?
  7. Tuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamemwambia asioe pengine, akaoe Tanga kwao

    Ushauri ulompa mbona mzuri tu aende akawaeleweshe wazazi hizi sio zama zakutafutiana mke tena atafute na baadhi ya ndugu wamsaidie najua wapo walioelimika watamsaidia na wazazi watamuelewa . ila tanga napo raha yale makanjumani ya kitandani mmh
  8. Tuya

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi stationery na printing shop, Dar es Salaam

    Sasa hiyo barua ya maombi inatumwa wapi na kwa nani?
  9. Tuya

    JamiiForums Tanzania Ajira za Makumbusho ya Taifa na GPA

    Jaribu huwezi jua wanaweza wasipate hao wanaowataka wakakuchukua wewe. Kikubwa mtangulize Mungu
  10. Tuya

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Ni kweli kabisa .
  11. Tuya

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Drivers (2 Post) na Sales Executive (2 Post)

    uzoefu miaka 10!! Hahahahaha yan ni sheeeeda
  12. Tuya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Duh ndugu unakauli mbaya aiseee kumbuka haya ni mapito tu na wala hakuna mtu anaomba yamkute ila ni kikombe tu kila mmoja inabidi akinywe leo kwake kesho kwako hatakama sio kwa eneo la ajira utapita kwa shida nyingine ndugu jifunze kuongea kauli nzuri hasa kwa mtu mwenye shida...
  13. Tuya

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mhudumu wa ofisi

    Nijinsi gani muajiri hujitambui wala hujui nn unatafuta ni ilimladi tu uite Diploma ,... Haya kila la kheri wenye Diploma yoyote watatuma
  14. Tuya

    JamiiForums Tanzania Vibarua maonyesho ya Sabasaba

    Deprety utakua umefanya la maana sana hata no za simu chukua uje weka hapa watu wajaribu bahati jamani na Mungu atakubariki maana huo ndio uzalendo mkuu
  15. Tuya

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuandikisha wapiga kura

    hili sio jibu ndugu:confused2::confused2:
Back
Top Bottom