Kilichonikuta jana kwa rafiki yangu

Kilichonikuta jana kwa rafiki yangu

Nilidhani wanaume hatujadili ya nyumbani kwa watu..?!

Anyway, huwa sielewi mtu anaposema nimejitoa FB kwa sababu kuna mambo ya kitoto, Badoo umalaya, Insta sijui nini. Mtu mzima ana-control mazingira yoyote yanayomzunguka, na sio mazingira kum-control.
Hakuna tabia za mitandao, bali tabia unazo-attract.
Unachokisema ni sahihi sana. Wakati nikiwa Badoo nilikuwa nawaambia hao shemeji zako wa Badoo kuwa sina mke. Hivyo nilikuwa nachati nao kimachale kama nasoma magazeti ama jamii forum. Hivyo mungu akiamua kukuumbua ni kama hayo umejisahau halafu wife anakufuma uko busy ukisema sweet I miss u na upuuzi kibao. Ili kuepuka haya lazima ujitoe kuna watoto huko kukuonyesha network wao hawaoni shida.
 
Hii mitandao mm nilishaachana nayo kitambo sana, sina social network yyt zaidi ya whatsap na JF, hii mingine ni upuuzi mtupu!
 
Nilidhani wanaume hatujadili ya nyumbani kwa watu..?!

Anyway, huwa sielewi mtu anaposema nimejitoa FB kwa sababu kuna mambo ya kitoto, Badoo umalaya, Insta sijui nini. Mtu mzima ana-control mazingira yoyote yanayomzunguka, na sio mazingira kum-control.
Hakuna tabia za mitandao, bali tabia unazo-attract.
Umeniwahi sanah aysee ,nlitaka niseme hvyo hvyo..
 
So, what??? Purely, private business. Hayatuhusu

Hayakuhusu halafu hadi unachangia!!? Hapa tunafundishana na sio kujiona unajua kila jambo. Mimi kabla ya hili nilikuwa nachati na mademu kupitia huu mtandao tena hata tukiwa mezani na wife yeye akifikri niko Jamii forum lkn madhara yake ni hayo kukosa uaminifu kwa mambo kama haya. Wewe kama huna mke ama hujatoa mahali kama kimya. Huwezi fahamu mwanamke huyo baada ya kuona mme wake si mwaminifu yeye atachukulia poa ama ataanza na yeye kuwatafuta wanaume. Sio kila jambo linaloletwa hapa mnachukulia simple tu pasipo kufikri kama yangekukuta wewe. Wanawake/wake wengi hubadirika/hufuata tabia sababu ya tabia ya mwanaume/Mme wake.
 
Kambagasa nakupongeza kwa Uzi wako,ijumaa kama nisingetoa betri nilikuwa nimedakwa na shemeji yako hapohapo Badoo!!! Nilitoa macho kama mamba kwa kusevu hilo soo maana mke wangu ananiamini sana hayo mambo nilianzia kwake tu:sly:
 
Huyo jamaa yako hana akili
Anadhani akitumia miguvu yake kumpiga mkewe badala ya kuitumia kwenda kulima ndio anatatua tatizo?????

Nachukia mijanaume inayotumia nguvu badala ya akili

Mfyuuuu zake

Na aende akale huko badoo
 
Kwi kwi kwi kwi kwi:sly::sly::sly:
 
Huyo jamaa yako hana akili
Anadhani akitumia miguvu yake kumpiga mkewe badala ya kuitumia kwenda kulima ndio anatatua tatizo?????

Nachukia mijanaume inayotumia nguvu badala ya akili

Mfyuuuu zake

Na aende akale huko badoo
Ho ho ho ho...Punguza hasira mkuu
 
Hayakuhusu halafu hadi unachangia!!? Hapa tunafundishana na sio kujiona unajua kila jambo. Mimi kabla ya hili nilikuwa nachati na mademu kupitia huu mtandao tena hata tukiwa mezani na wife yeye akifikri niko Jamii forum lkn madhara yake ni hayo kukosa uaminifu kwa mambo kama haya. Wewe kama huna mke ama hujatoa mahali kama kimya. Huwezi fahamu mwanamke huyo baada ya kuona mme wake si mwaminifu yeye atachukulia poa ama ataanza na yeye kuwatafuta wanaume. Sio kila jambo linaloletwa hapa mnachukulia simple tu pasipo kufikri kama yangekukuta wewe. Wanawake/wake wengi hubadirika/hufuata tabia sababu ya tabia ya mwanaume/Mme wake.

Mnafundishana uzinzi na kuchepuka nje ya ndoa? Give me a break!!!
 
Kumbe unatumia Tekino alafuu mwanaume ushafikia kuitwa baba bado upo na badoo tu? unajifunza nn kule?
 
Sasa alivyompiga ndio ametatua tatizo?
 
Mume wa mtu unakuwa Badoo tena unadanganya hujaoa.Mwisho wa siku laana wanatupiwa Michepuko. Duhh..
 
Back
Top Bottom