Duuuh....
Mkuu ilo swali ndilo swali la kwanza kuulizwa interview yoyote ile.kiufup..mantiki ya swali hilo ni kutaka kukufahamu zaid(unasumarize ile cv yako) kwa ufup sana..huku ukitoa hints ambazo unahisi zitakuweka kwenye nafasi nzuri ya kupita.
Kumbuka,kila interview ina hints zake kutegemea na aina ya kaz iliyopo mbele yako.
Thanks mkuu, nimekufaham!