Hiyo kitu inasafisha mishipa ya uzazi ususani ukiwa unatumbo linalonguruma au kitu kingne kinachoweza kupunguza nguvu za kiume,kimsingi haiongezi nguvu za kiume ila inasafisha hivyo vinavyofanya nguvu kupungua na kurudi kama zaman,kama ingekuwa na madhara basi wazazi wetu wangekuwa wameshayapata
Pole sana ndg niwasaidie tu kuwa sheria ya kupambana na uhalifu wa mtandao ni muhimu ila haitakusaidia kama hatuna mfumo mzuri na wa kisasa wa kimtandao kudhibiti huo wizi.Pili elimu kwa umma ndiyo itakayotusaidia kuwa salama na wizi wa kimtandao,usiwe mwepesi kutoa fedha,password au account...
Mwanamke na mwanaume wote ni sawa na lazima tuwape fursa na nafasi sawa tena kwa kujali tofauti za kibaolojia zilizopo kati ya mwanaume na mwanamke.Mume atamheshimu mke wake vivyo hivyo kwa mke.Unayewadharau wanawake ukishawishiwa vizuri unaweza hata kuua albino cause tayari unatabia ya kuweka...
Hata kama ukawa wangerudi wasingeruhusiwa kupiga kura,wangewauliza ''nyinyi hamuijui rasimu cz hamkushiriki kuitunga mtaipigiaje kura?hawa jamaa wajanja sana mm cio ukawa bt ninaamini cku moja hawa jamaa watatoka
Nakubaliana na wewe mkuu,mimi pia naipinga hyo JKT haina tija wala sio chuo cha maadili kama wanavyofikiri,waliopitia huko zamani tena ndo ilikuwa JKT kweli wanatusumbua sana leo madarakani,watfute mbinu nyingine ya kuulazimisha uzalendo.Au ndo hawataki watu wakuwapa changamoto?
Nimekuwa mwenye bahati kujiunga na jamii forum,sasa kwa mara ya kwanza nimejionea kiongozi mkubwa mwenye PHD(siyo ya sheria)akitoa tafsiri iliyokosolewa kwa usahihi na watumishi wasiohold certificate zaidi ya ile ya kidato cha nne.Asante sana mkuu Dunia Tabu
ndugu Petro E.Mselekwa nashukuru sana,kwani ni mwezi April tu nilitoa ten for the same issue leo tena natakiwa nitoe tena,pia kuna nyingine tena inakuja that is for high schools in every ward
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.