Hakika wanawake ni viumbe dhaifu!!!

Hakika wanawake ni viumbe dhaifu!!!

Ni sawa unajua ukweli cku zote unauma lkn pia co.kwamba madem wote wko hivyo ndio maana nimekuuliza
 
wadau yaniktk siku 365narobo/366 kwamwaka, wanawake wanayo cku 1 tu nyingine zote haziwahusu na ikifika wanaandaa maadhimisho wanajaribu kujilinganisha na wanaume. Mwanaume ni mwanaume tuu na atabaki kuwa mwanaume. Imeandikwa mume atamtawala mke......mke atatii.....mume atapenda. So kazi yenu ni kutii watawala wenu (wanaume) 😕😕😕:d:d:d:d😱 Dah.... Poleni sana. Ila maadhimisho mema

1timotheo 2:12 simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.

pole sana ndugu, kama bado unafikra za kijinga namna hii, hao wanawake unaowasema wewe ni wa enzi zile ambao walikuwa hawajitambui,hawajui thamani yao , wao ni wakusema sawa hata kama sio sawa, sio kwa wanawake kizazi cha sasa. Hata mpenzi/mke wako inabidi upate asiyejitambua ili umtawale na kumuonea, maana akili yako imetawaliwa na ujinga fulani hivi. Mhh !! Ukimpata anayejitambua mbona utajuta na ujinga ujinga wako.
 
1Timotheo 2:12 -"Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya".

Usiamini mambo hayo ni scam tu, usije kumtandika makofi mkeo.
 
Wadau yaniktk siku 365narobo/366 kwamwaka, wanawake wanayo cku 1 tu Nyingine zote haziwahusu na ikifika wanaandaa maadhimisho wanajaribu kujilinganisha na wanaume. Mwanaume ni mwanaume tuu na atabaki kuwa mwanaume. Imeandikwa Mume atamtawala mke......Mke atatii.....Mume atapenda. So kazi yenu ni kutii watawala wenu (wanaume) 😕😕😕😀😀😀😀😱 Dah.... poleni sana. Ila maadhimisho mema

1Timotheo 2:12 Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.

Dats true for all values( mathematically)
 
Wadau yaniktk siku 365narobo/366 kwamwaka, wanawake wanayo cku 1 tu Nyingine zote haziwahusu na ikifika wanaandaa maadhimisho wanajaribu kujilinganisha na wanaume. Mwanaume ni mwanaume tuu na atabaki kuwa mwanaume. Imeandikwa Mume atamtawala mke......Mke atatii.....Mume atapenda. So kazi yenu ni kutii watawala wenu (wanaume) 😕😕😕😀😀😀😀😱 Dah.... poleni sana. Ila maadhimisho mema

1Timotheo 2:12 Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya.

wewe ni mkristo au mwisilamu?
 
ooooo ndio maana nchi ina yumba kila secta mwanamke ni mwenyekiti
 
Sina hakika kama neno dhaifu tunalitafakari sahihi na kile Mungu alichokusudia! Pili ni mwanaume yupi aliyeachwa na watoto kwa kufiwa na mke may be au kuachana akaweza kusimama kwa miguu yk peke yake kukuza watoto na kuwasomesha hadi kufika kujitegemea? Ni wanawake wangapi wameweza hayo? Ht Mungu wakati wa uumbaji aliona udhifu wa wanaume mapema sn ndo maana akaona ni vyema mwanamke kuwapo! Tuache kbs hayo mambo kwani ipo siku ya watoto,wababa hapo inakuwaje?
 
Ukweli unauma sana ila kiuweli, Toka umbaji wa Mungu mwana mke aliwekwa chini ya mwanaume ila kwa sasa wanaweke wanajaribu sana kuligeuza hii jambo
Niliwahi panda daladals dada mmoja alielezezea vizuri na kukili ukweli nakusema beijini inawapotosha.
 
we hamnazo kweli? kama wa2 wote wangefikiri kama ww bac hata wanaume nao wana siku moja au haujui kama kuna father's day? na haya ni maadhimisho ya cku ya wanawake, acha umbulula

Not all men are fathers!
 
acha umbulula ww,bila mwanamke familia haiendi,tafakari
 
Mwanamke na mwanaume wote ni sawa na lazima tuwape fursa na nafasi sawa tena kwa kujali tofauti za kibaolojia zilizopo kati ya mwanaume na mwanamke.Mume atamheshimu mke wake vivyo hivyo kwa mke.Unayewadharau wanawake ukishawishiwa vizuri unaweza hata kuua albino cause tayari unatabia ya kuweka matabaka na kuona kundi moja linamaana zaidi kuliko wengine
 
Back
Top Bottom