Recent content by tuusan

  1. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya walisema mkijenga SGR walau 1km tuwaonyeshe maana waliamini hatuwezi😃😃😂...ila mdomo ni mbaya sana
  2. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Suala la gdp 2023 Kwa africa nanba moja hadi kumi 1.Egypt gdp $395B 2.South Africa $377B 3.Nigeria $362 4.Algeria $239B 5.Ethiopia $162B 6.Morocco $141B 7.Sudan $109B 8.Kenya $107B 9.Angola $84B 10.Tanzania $79B Nme note Ethiopia Wamepanda hadi sio vizuri sijajua wamefanya nn
  3. tuusan

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Mwanza mji mkubwa wa bure tu hakuna ishu..sasa wanazidiwaje na Dodoma na Arusha?
  4. tuusan

    Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Analalamika nn kwani ni lazima afuate ushauri wake?ye ale ashibe afurahishe wake zake
  5. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mtaa gani huu apa Dsm..
  6. tuusan

    Nitajie Msomi Bilionea

    Umekaa mwenyewe ukaona ukiwa mjinga ndio utapata hela?
  7. tuusan

    Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

    Izo dawa vimewasaidia waviu sana,wengine ndio wanategemewa na familia yani akipotea familia yote chali..usiwaze tu upande wako
  8. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wataalamu mnaonaje hii maneno? Ethiopia wamepigaje apo?
  9. tuusan

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Masikini ni mtu ambae hawezi kupata mahitaji ya msingi kama chakula,mavazi na malazi.. Kampeni iliopo duniani kwa sasa ni kupunguza masikini ila haimaanishi kuongeza matajiri kwa sababu kua tajiri sio hitaji la msingi la binadamu Kama unasehemu ya kulala +unakula na kunywa+unapata mahitaji ya...
  10. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mlisema tukiweza kujenga SGR tuwaonyeshe 1KM tu...badae tukiwaonyesha reli mkaanza kibadili mada kwamba vituo ni vibaya 😃😃😃😂 Hamkuishia hapo mkasema hatuwezi tumia treni za umeme leo wala kesho..sahv mnahangaika na speed?kwani ndio imeanza rasmi ama ni majaribio???Hili suala mmeshachemka kitambo...
  11. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawa jamaa hua wanaweks vitu vyao vizuri inakua vyepesi kuelewa
  12. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    How much do you make bruh? If Tshs2.8M is a peanut to You...
  13. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tz ni wanagenerate 1889MW ,Available 1200MW ,demand 1430MW...tunauhaba wa 230MW kwa sasa...ila tumeelekezwa kua Nyerere Hyro electric Dam itatuongezea 2115MW ...So kama kila kitu kitaenda sawa mwaka huu tunapindua meza...labda mtatuzidi kwenye matumizi sio uzalishaji
  14. tuusan

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watu wa Vipi Expressway ina tija?tupe mfano kidogo kwa ile yenu
Back
Top Bottom