Recent content by Tus66

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa kazi ya ualimu ni upi?

    Watu wengi hawapendi kazi ya ualimu mimi binafi huwa sioni ubaya wa kazi hii labda wadau mnaionaje kazi ya ualimu na ubaya wake ni upi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Neymar kutokushiriki World cup

    Nyota wa Brazil Neymar jana alivunjika uti wa mgongo baada ya kugongana na mwenzake dakika tano kabla ya mechi na Colombia kuisha na Brazil kushinda bao mbili kwa moja. Pia watamkosa beki Thiago Silva alielimwa kadi mbili za njano.Brazil itaivaa Ujerumani katika mechi ya nusu fainali...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Udhu

    Kama sijakosea neno udhu utumiwa na ndugu zetu waislamu,nimekuwa nikidadisi kujua maana halisi ya neno hilo bila mafanikio leo naomba wana JF mnifahamishe maana ya neno udhu katika uislam.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je,ongezeko la 1% kwa mrahaba wa madini sawa shilingi ngapi za kitanzania?

    Naomba kujuzwa kuhusu ongezeko la asilimia 1 ya mrahaba wa madini unaolipwa na makampuni ya uchimbaji madini kwa serikali yetu ni sawa fedha kiasi gani?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Pandora

    Neno pandora linamaanisha nini? kule bungeni dodoma.Naomba mnijuze wakuu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa kina Samata ,Ulimwengu Afcon

    Kuwepo kwa taarifa ya club ya TP Mazembe kuwazuia washambuliaji wawili stars.Mwagane Yeya wa Mbeya City hana tofauti na kina Samata.Tanzania inavipaji vingi .Hakuna sababu ya Taifa stars Kufungwa na Zimbabwe michuano ya Afcon.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya big bang na kuundwa kwa ulimwengu

    Wakuu naomba kujuzwa kuhusu nadharia ya big bang inavyoeleza kuhusu kuundwa kwa ulimwengu.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

    Je, ni kweli kwamba ulaji wa limao ukausha damu mwilini.Ni zipi faida au hasara zake mwilini?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote kwa kuishi na figo moja?

    Zipi athari za kuishi na figo moja kwa waliodonate figo?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa, ilianza lini?

    Hivi adhabu ya kunyongwa mpaka kufa ilianzia wapi na lini?
  11. T

    JamiiForums Tanzania serikali mmeona madhara ya kutowasikiliza walimu

    Serikali ya ccm ni kipofu na haina uwezo wa kuleta maendeleo ya maana zaidi ya kukurupuka kufanya madudu kama kawaida yake.Watanzania ifike mahala tuone umuhimu wa kubadili mfumo mbovu wa uongozi wa serikali hii dharimu inayoongozwa na porojo za viongozi mafisadi wanafiki ,vigeugeu,waroho wa...
Back
Top Bottom