Kuwepo kwa taarifa ya club ya TP Mazembe kuwazuia washambuliaji wawili stars.Mwagane Yeya wa Mbeya City hana tofauti na kina Samata.Tanzania inavipaji vingi .Hakuna sababu ya Taifa stars Kufungwa na Zimbabwe michuano ya Afcon.
Sasa wewe ndugu yangu umeandika nini hapa!!! mbona HEADING na maelezo yaliyopo humu ndani ni tofauti? na huyo mwigane yeya ni mchezaji wa timu gani hapa tz? au anacheza chandimu huko mtaani kwenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.