Kuna wanyama au ndege ni kama baraka tu kwenye maisha njiwa hana baya anaweza kuwaondoa akaondoa riziki zake zote awaache tu tena ikiwezakana aanze na kuwalisha
Angalizo :kama unatumia brand za kisasa kuoneshea mpira hakikisha TV zinapokaa hazihamishiki bandani ya unaposifunga au kuziweka ziwe hapo hapo na matumizi yawe kwa ajili ya mpira tu na sio kuziwasha washa chonga fremu kubwa kuzidi TV ziwe za kufunga na kufungua kama baadhi ya bar wanavyo fanya...
70% wanao jiandikisha hawaendi kupiga kura wanakazi navyo zingine kabisa haswa maswala ya mikopo ya simu na pesa taslimu huku uswahili na kazi za hapa na pale
We acha tu nilikosa kazi kisa harufu mbaya ya kinywa na jasho kali usafi muhimu jamani daahhh mimi kama dereva boss akiingia tu kwenye gari harufu hazihelewiki watu wengine hawawezi vumilia vitu kama hivyo nashukuru aliniambia ukweli ....
Aqua ikifa betri unajua bei gn service yake unaijua hayo magari bado sana kwa bongo hata mafundi wapo wachache na bei juu achukue tu ist aweke gesi mchezo imeisha kwenye uber bolt
Kama una familia na bado mambo yako hayajakaa sawa achana na hiyo kazi kiongozi ni mateso makubwa ...kupelekea mtu hesabu ni jambo ngumu wengi wanaofanya kazi hizo vijana wa nyumbani wahawana majukumu au familia wengine ni kazi ya ziada tu au ni magari yao... kama utaamua kuchukua gari basi bora...
Nunua IST used kwa watu za m8 mpk m9 upate IST4 zilizonyooka ziingize kwenye uber kwa HESABU au MKATABA mpk unamaliza chuo utakuwa na kiasi kikubwa na unaweza kuja tena kuziuza hizo GARI zako baadae ya kumaliza chuo si chini ya m5 HESABU kwa wiki ni 150000 mpk 170000 kwa mwezi kwa GARI zote...
Iyo laki inaweza ndio ikawa ubao wa siku yaan hela zote alizo beba siku nzima sasa hapo toa kamesheni ya bolt toa mafuta toa hesabu ya boss anachobaki nacho ndio chake
Ipo hivi kwanza kinachotokiwa kwa dereva ni kuwa amejiandikisha kwenye hizo huduma
Pia kwa mwenye gari lazima awe na gari la biashara au anaweza kutumia hata private lkn kisheria hailuhisiwi ila watu wanatumia
Kila mtu ana utaratibu wake na hesabu yake kulingana na gari lake au na anavyotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.