Sisi Wazanzibari hatushangai na Masheghe wa aina hio hasa huko walikotoka.La kufurahisha ni yule shekh wa Waislamu kuliona na kusema kua hilo alilosema ni Lake mwenyewe.Maana hajielewi wala hajitambui pengine alishaahidiwa Pombe.
Kama unataka kujuwa walionyuma ya wazanzibari waliokwenda mahakamani,bora washawishi hao wenzako waliokutuma kuweka mada hii wafanye kura ya maoni ndio mtajua walionyuma yao.Na unaposema ni vyema ukasema ukweli wapi ulipo nukuu taarifa za kwamba wazanzibari walitoa maoni yao kupitia...
Unauhakika kama ni waislamu au wanamajina ya kisslamu tu? Uwislamu kazi ndugu yangu.Muislamu hawezi kudhulumu mtu,hawezi kumfitini mtu,hawezi kumfanyia mtu yeyote baya na vyenginevyo hao ni wataka dunia tu.na dunia ni yenye kupita kama tunavyopita wanadamu.Mungu awe pamoja na wenye kudhulumiwa.
Huyo Trump aliekua hataki waislamu wende marekani kwanza angewauliza wao wanamtaka? Pili wakafanye nini huko marekni na wapo katika nchi zao lakini na yeye asiende kwao.
Pole sana ndugu yangu.Kwanza usikate shauri na kuamini kua sms ulizoziona kwenye simu ya mumewako zinatoka kwa mamako ijapokua ni simu yake.Yawezekan mtu mwengine kafanya hivyo ili akugombanishe na mamako na akutenganishe na mumeo. Yawezekana kabisa simu ya mama iliazimwa na mtu mwengine wa...
Haya Kumekucha Watanzania wenzangu.Kwanza muombaji Radhi huenda ndie muandishi maana hakusema kua alobeba bango ni mwanachama wa ccm kasema mwananchi mmoja.Na huenda haijui zanzibar maana maneno kama haya ndio kisabeho kwenye bango la ccm kisonge,mbona hajawahi kuomba radhi.Pili CCM bara ni...
Kwanza nikubali kua Biblia ni kitabu kitakatifu,lakini sio hizi Biblia ziliokua zinabadilishwa kila siku kulingana na matakwa ya waandishi hii haina utakatifu wowote na wanaoibadilisha ni mashetani.Na lugha yoyote duniani haiwezi kabadilishika ila inaweza kuongezwa maneno fulani yanayoipa ladha...
Kama haungetaka auliwe asingekuja kuja zanzibar kuiba kwa kutumia silaha.Hata wewe kama unataka kufa njoo na silaha utamani kuiba.hapa hatuna hukumu nyengine ya muhalifu ila Kifo.Maana sisi hatumiliki silaha sasa yeye kaipata wapi na kwa kazi gani.
Tangia lini mwnaume akae bila kuowa ati ni mchungaji matokeo yake hayo anapora wake za watu.na mkikosea shubiri atawabaka na hao watoto anaowahubiria.Huyu hana mahubiri zaidi ya kuchaguwa wari na wake za watu.Sasa pale alipolia katika maombi alilia kwa sababu yule dada mumewake karudi na...
kimbe unafahamu maeneo yenye waislamu wengi sasa hao kina mboe wenu na Slaa nao wamechaguliwa na nani kama si wakiristo wenzenu.Au YENU DU YA WENZENU MIDOMO JUU.
Mimi sikubaliani na wanaosema hatuna mapungufu katika kutengwa kwa Tanzania.mapungufu yapo mengi na lakwanza ni huruma zetu za Mamba kupenda jirani wasiotupenda hili ni kosa.Tanzania imegaramika sana kuikomboa Uganda watu wamekufa tukalipwa ahsante na Mwalimu Nyerere leo muoneni anatufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.