Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.

Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.

Waberoya said:
Nimesoma zile comment mkuu, in short, this is very bad for Chadema.

Chadema need to work on in this accustaions whether these accusations are true or not. sumu mbaya sana hii. sijawahi kuamini au kuona hata sikumoja kuwa chadema wana udini kama walivyoupamba hawa watu!

Waberoya,

..yaani unataka Chadema wakajiteteee kwa madai yanayotolewa na mzalendo.net?

..mzalendo.net pamejaa wabaguzi wa kidini na ki-Zanzibari. huwezi kupata haki pale kama siyo wa dini yao au Mzanzibari.

..hapo mzalendo.net hata uanachama hawaruhusu kama siyo Mzanzibari. hii ni sawa na ilivyokuwa Zanzinet.

NB:

..nakuomba upitie maoni ya wana mzalendo.net kuhusu ile sakata ya kiwanja kati ya Fatma Karume na Kanisa la Kianglikani.
 
kimbe unafahamu maeneo yenye waislamu wengi sasa hao kina mboe wenu na Slaa nao wamechaguliwa na nani kama si wakiristo wenzenu.Au YENU DU YA WENZENU MIDOMO JUU.
Haka ka Mzalendo .net cjakapenda kwanza kapo Ki CUF zaidi na Kiislam zaidi,huwezi kunishawishi hata siku moja nikubali udini wa Chadema kabla ya udini wa CUF na CCM,ndo maana hata ushindi wa CUF kwenye kura za urais zimetoka maeneo yenye waislam wengi i.e Mtwara,Lindi na Tabora kote huko waislam ni 80 Percent,kwa CCM udini upo kwa Kikwete.
 
Back
Top Bottom