Recent content by Turi

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

    Niruhusu nije dm bibie Maisha yenyewe haya unaanzaje kukaa mwaka 1 bila bila
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SMS nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

    Kataa ndoa 1-0
  3. T

    JamiiForums Tanzania Basi la Timu ya Dodoma Jiji lapata ajali kwa kutumbukia mtoni

    Aisee, hatari sana, Ni matumaini yangu kuwa wako salama wote
  4. T

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?

    Duh! Noma sana Mimi mara ya mwisho kunywa soda juice za viwandani na zile energy na vingine vya namna hiyo ni 2015
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Kuna jamaaangu ana kampuni yake ndo anaanza alikuwa anataka mtu wa aina yako sijui kama mtawezana malipo/mshahara Hebu nifuate pm kama unaweza
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mimi ni NMB lakini mpaka sasa hola Lakini kwa kuwa imeingia kwa wengine matumaini yapo ngoja niendelee kusubiri
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sijaona sms mzee harafu siko mbali na ATM
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nakwambia hapa sielewi kwa kweli sms za SGR nazo haziko nyuma kila mda kata ticket sasa ticket bila hela!!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wazee nimeweka simu jirani kila nikisikia sms nashika simu lakini wapi Nyie vipi huko
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Haya makundi yanayokuwa yameorodheshwa kama ya kigaidi mbona yana nguvu sana!! Ina maana majeshi ya nchi husika huwa yako wapi kiasi nchi kuanguka!! Nilianza kushangaa wakati Taliban anachukua nchi ndani ya mda mfupi! Ina maana majeshi unakuta na wenyewe wamechoka na tawala zao ama!
  11. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Naachia lindo wazee sasa ni saa 0504
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

    Dah
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

    Wakuu msiseme hivo mnanitia wasiwasi, kwa sasa niko Dom kikazi na yeye yuko mkoani na kurudi nyumbani ni baada ya siku 21 na leo ni siku ya 3, hapo vipi na mimi watapita naye wasela
  14. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Aisee hatari sana, hakika kifo ni fumbo zito sana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuweka rangi maandishi ya JF

    Aisee hatari sana
Back
Top Bottom