Kabisa wakabisha chelsea katika fainal za makombe makubwa ni fainali moja tu 2008 uefa dhidi ya man u ndo ilishindwa kutwaa tena ilishindwa kwa penati kwahio chelsea ni mfupa mgumu kwelikweli ikifika hatua ya fainal
Mwambie huyo na umwambie kuwa Chelsea ni miongoni mwa timu ambazo zikifika fainali huwa hazitabiliki arejee fainal ya mwaka 2012 pale ujeruman bayan ilikuwa moto sana lakin mwisho wa siku The blues wakanyanyua kwapa na ile ya 2021 man city ilikuwa hot mwishowe ikawaje na mwaka huu ilikuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.