Vinicius wana muhype sana ila level zake ni akina Walcott, Lenon, Jumberg ni mchezaji machachali ila sio hatari.Hawa PSG wanapeleka sana moto
Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
View attachment 3399875
Kumbe ata wewe umeona aiseeVinicius wana muhype sana ila level zake ni akina Walcott, Lenon, Jumberg ni mchezaji machachali ila sio hatari.
Chelsea mjiandae tu wale jamaa wapo vizuri.
Vini tangu akose Ballon d'or amekuwa na kiwango cha kusuasua sana.Vinicius wana muhype sana ila level zake ni akina Walcott, Lenon, Jumberg ni mchezaji machachali ila sio hatari.
Chelsea mjiandae tu wale jamaa wapo vizuri.
Tunatunza kwa matumizi ya baadae!Acha kufananisha chelsea na vitu vya kijinga


Chelsea will winHao wafaransa tutaishi nao kimkakati na ndoo tunabeba
Hana maajabu.Vini tangu akose Ballon d'or amekuwa na kiwango cha kusuasua sana.
Mwambie huyo na umwambie kuwa Chelsea ni miongoni mwa timu ambazo zikifika fainali huwa hazitabiliki arejee fainal ya mwaka 2012 pale ujeruman bayan ilikuwa moto sana lakin mwisho wa siku The blues wakanyanyua kwapa na ile ya 2021 man city ilikuwa hot mwishowe ikawaje na mwaka huu ilikuwaje fainal Chelsea ndo timu pekee inayojua kucheza na timu ngumu pindi inapofika finalAcha kufananisha chelsea na vitu vya kijinga
Psg leo wamekutana na kitu SEALED mamaeh...unataka kuingiza kitu kinagoma kinagonga ukuta ...Kuna mwamba kaliwa laki 4 , hapa naona anacheka cheka tu sijui ndio akili zimeanza kufyatuka...ngoja tuangalie maendeleo yakeTangu psg wajifunze jinsi ya kujamiiana , wanajiona Sasa wao ni wao na wanaweza kujamiiana na mwanamke yoyote. Haya bas sawa.
Unaendeleaje mkuu 😂Hawa PSG wanapeleka sana moto
Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
View attachment 3399875
Bado hujasemaYNWA