Shukrani mkuu kwa mchango wako, mwalimu anasifa hizo ahishi hapo tu bali anakipawa cha kuelewesha. kwa mwasiliano zaidi unaweza mtafuta katika hiyo namba atakupa maelezo kwa ufafanuzi zaidi na hata kuonana ikiwa hutoridhika na ufundishaji wake anakupa nafasi ya kueleza hilo.
Karibu mkuu
Habari,
Kwa wale wanao fanya masomo ya sheria(LLB/DPL) au wale ambao wanafanya program zenye law ndani.
Sasa kapatika Mwalimu Binafsi, aliyeflexible kukufata na kukufundisha muda wa baada ya kazi kama walio wengi ambao ni wafanyakazi.
Pia Mwalimu binafsi anatoa nafasi kwa wale wanaoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.