Private Tutor For Open University Students & Distance Learner | Mwalim Binafsi kwajili yako

tupomjinibado

Member
Sep 30, 2018
17
13
Habari,

Kwa wale wanao fanya masomo ya sheria(LLB/DPL) au wale ambao wanafanya program zenye law ndani.

Sasa kapatika Mwalimu Binafsi, aliyeflexible kukufata na kukufundisha muda wa baada ya kazi kama walio wengi ambao ni wafanyakazi.

Pia Mwalimu binafsi anatoa nafasi kwa wale wanaoweza kujiorganise, na kufundishwa pamoja.

Kwa mawasiliano na mwalimu:
0756 707 562 | Dar es Salaam
Email: info.yourtutor@yahoo.com

Karibu
WhatsApp Image 2018-10-16 at 09.59.02.jpeg
 
Habari,

Kwa wale wanao fanya masomo ya sheria(LLB/DPL) au wale ambao wanafanya program zenye law ndani.

Sasa kapatika Mwalimu Binafsi, aliyeflexible kukufata na kukufundisha muda wa baada ya kazi kama walio wengi ambao ni wafanyakazi.

Pia Mwalimu binafsi anatoa nafasi kwa wale wanaoweza kujiorganise, na kufundishwa pamoja.

Kwa mawasiliano na mwalimu:
0756 707 562 | Dar es Salaam
Email: info.yourtutor@yahoo.com

Karibu
Mkuu, huyu Mwl. anasifa za kufundisha level hiyo? CV yake tafadhari labda tunaweza kumtafuta!
 
Mkuu, huyu Mwl. anasifa za kufundisha level hiyo? CV yake tafadhari labda tunaweza kumtafuta!

Shukrani mkuu kwa mchango wako, mwalimu anasifa hizo ahishi hapo tu bali anakipawa cha kuelewesha. kwa mwasiliano zaidi unaweza mtafuta katika hiyo namba atakupa maelezo kwa ufafanuzi zaidi na hata kuonana ikiwa hutoridhika na ufundishaji wake anakupa nafasi ya kueleza hilo.

Karibu mkuu
 
Mkuu unaweza kuwa flexible kama una Internet unafundisha live classes kwa nafasi yako,fanya both physical and online tuition...kuhusu kusambaza Becky niko Nanjilinji...lol

Shukrani sana Rebeca, this is worth support and advise ntalifanyika kazi. shukrani sana, tuko pamoja
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom