Dully Sykes Ft Mr Blue &Joslin - Dhahabu(Lyrics)

Dully Sykes Ft Mr Blue &Joslin - Dhahabu(Lyrics)

mkuu naona thread yako mwenyewe unatia sound mdogo mdogo, mimi nachukua sit; msiamie tu inbobo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu inbox ntafika tu bila shaka
 
Huwa siku nikichoka zangu nacheza nyimbo za Blue+Featured songs;

1. Dhahabu
2. Tabasamu (Steve R&B)
3. Nilikataa ( Q-Chilla + TID)
4. Wewe ni wangu (Belle 9)

Latest:
1. Mboga saba
2. Pesa
3. Pamoja
4. Baki na mimi

Hapo nitaziridua mpaka nizichoke.
No 3 huwa napenda blue anavyokua anaanza kuimba, nyimbo za zamani tamu bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom