Mosi, pale unapowatokea tu kuonyesha una nia ya kuingia nao kwenye mahusiano basi lazima wadai vyeti vyako vya elimu yako ili wakufanyie tathmini (background check🙂 ikiwa ni pamoja na picha zako ulizovaa majoho ya ku graduate huko ulikomwambia kuwa umesomea pamoja na majina ya reference🙂, hivyo kuwa tayari kupitishwa kwenye huo usahili....Usikasirike tu🙂
Mbili, mkiingia tu kwenye ndoa basi ujue umefanya kosa, maana hiyo nyumba itakuwa inaendeshwa kwa mtindo wa "rules and regulations" katika kila jambo..... yaani hata time ya kujibu celullar phone uwapo nyumbani.
La tatu, Kwa kufunga mjadala katika sentensi moja tu.... kifupi wao ndio waoaji wa mwanamme (japo ni wanawake) na sio mwanaume ati wa kuwaoa wao. Kwa kifupi si wanawake wenye busara wawapo kwenye mahusiano haswa ya ndoa. (Period).
Wakati mwingine nawaona wanasheria wa kike huwezana (kuwa kwenye ndoa) na counterpart wao yaani wanasheria wenzao wa kiume. Ijapokuwa pia hawana immune kwani nimeshashuhudia wakati mwingine ukiwa ni uhusiano wenye "mitifuano" mikubwa ya mara kwa mara na hata kupelekea talaka baina ya wao wenyewe kwa wenyewe pia.
KUNA mmoja tunaye hapa ofcn yuko busy kuliko hata nd yaan akiamua kukuweka benchi wiki itaisha hlf mkuu alexander kamaliza kila kitu hawa viumbe hujiona yaan wao ndio wasomi,wao ndio watendaji kazi bora wao ndio wana haki ya kila kitu aiseeeeh hawa wanasheria hawaKwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei. Tatu, hakuulizi swali bila ya kujua jibu lake hata kama mpo chumbani faragha (yani kama yupo mahakamani akimhoji shahidi, kama vile ana cross-examining witness). Nne, wanazira/kununa upesi. Tano, wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi ofisini/mahakamani (hata kama walikua hawana cha kufanya). Saba, kila siku lazima akupe story za mashahidi/hakimu/wanasheria wenzake wanaavyo pambana kwenye case (hata kama hakua na case).
Vyote vitisho ujue huwezi kupata mtu anaejituma kama yeye, tunao mitaani/ofisini hao viumbe.
Sio wote lakini![]()
kwahiyo wanasheria ni watamu? kwan vifungu vya sheria vinakaa kwenye papuch au kichwani?Mie nataka kumuoa mmoja mkuu. Ni mtamu sijawahi ona.
Nwapenda sana wanasheria, 1stMay be my lady mpaka kwa death separate us 🙃Mbona tupo kawaida!! Tunapenda, tuna hisia, tunajali...sema mi binafsi sipendi kupelekeshwa...
Mbona tupo kawaida!! Tunapenda, tuna hisia, tunajali...sema mi binafsi sipendi kupelekeshwa...
Mwanamke asiyependa kupelekeshwa huyo sio Mke ni Mume.Mbona tupo kawaida!! Tunapenda, tuna hisia, tunajali...sema mi binafsi sipendi kupelekeshwa...
Mwanamke asiyependa kupelekeshwa huyo sio Mke ni Mume.

Ndio shida yenu hiyo...hutaki kusikiliza...eti hutaki kusikiliza...
Haya niliyoedit sifa hizi anazo huyu mke mtarajiwa japo ye kaishia kidato cha pili,Kwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei, wanazira/kununa upesi. , wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi Nyumbani (hata kama walikua hawana cha kufanya)ji18]
Maamuzi magumu umeamua kuchukua mkuu, dah pole sanaa kwa hilo.Haya niliyoedit sifa hizi anazo huyu mke mtarajiwa japo ye kaishia kidato cha pili,
Mbaya zaidi natarajia kufunga nae ndoa Keshokutwa hivyo naombea wazee wasitishe nisimuoe
Ahsante, hapa naangalia namna kama nikimuoa nimtafutie mke mwenzie pengine akili itamkaa sawa maana nimeshatumia busara nimechoka na hii ndo sababu iliyonifanya nichelewe kumuoa,Maamuzi magumu umeamua kuchukua mkuu, dah pole sanaa kwa hilo.
Ahsante, hapa naangalia namna kama nikimuoa nimtafutie mke mwenzie pengine akili itamkaa sawa maana nimeshatumia busara nimechoka na hii ndo sababu iliyonifanya nichelewe kumuoa,
Mbaya zaidi sasa kanitegeshea Mimba nyingine ili kufosi ndoa,yaani mtoto wa kwanza alinitegeshea Mimba na sasa hivi kategesha mimba ya mtoto wa pili ili nimuoe
Hahahaha sasa hii personal issue. Kuna wengine hawako kama Mimi. Afu mbona mi napenda kusikiliza? Kupelekeshwa ni khali ya kutopata ruhusa ya kutoa opinion yoyote katika mahusiano...yaani unakuwa bubu. Hahaha yaani kila kitu ni ndio baba. Sa we kama ni wa type hio, nikwambie kwamba hauna mpenzi una mtumwa wa mapenzi...hahaha kwanza inabidi ufungwe kabisa![]()