Recent content by Tupakule

  1. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Mtu yoyote yule anayefaidika na system ya serikali hawez lazma Asifie tuu. Na anasahau hii ni Nchi yetu sote na kama kuna mambo hayaend sawaa bas tukae kimyaaa tuuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza umefika uwanja wa ndege Kenya, nimeambiwa kuusafirisha ni 89000 hadi Tanzania

    Toa maelezo yanayojitosheleza kiongoz, umetumiwa mzgo na rafk yako ya Facebook ama?
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Dodoma: Hatuwasafirisha wananchi kwenye mabasi kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni, wanajitokeza kwa hiari yao

    Nilipewa lift tuu ya gari wala hata sikusombwa mie
  4. T

    JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Kusamehe au kutokusamehe ni utashi wa mtu binafsi mwenyewe
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    angekweq pipa aende Cuba hapo angeonekana wa anatoa majib yenye maana ila kwenda ubalozin tena kipindi hiki hapana kwel
  6. T

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Nimejiandaa kusoma kwa mbwembwe kwel mara nakutana na maandishi ya kizungu ikabid nishuke kwenye comment tuu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

    Kwann CCM imekaa madarakan miaka mingap?? Na CHADEMA imekaa madarakan miaka mingap?? Tuanzie hapo mtoa hojaa
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Mtumie hela tuu utaona atapata mood ama laaaa
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

    Ha ha haaa, mm kuna siku nilipata mchepuko bhana, demu chap kaja geto bas mwana nikavaa ndomu nikapga kimoko cha hamu, ila nimemaliza natoa ndomu naona demu anatoa kitambaa chake kweny mkoba wake, nikamuuliza kitambaa cha nn hicho? Demu akasema kwa ajili yako mpenzi nataka nikufute, nikamwambia...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Tatizo dogo hutak kumove on, ndo maana unaleta kiswahili cha au niwe napga tuuu, kalaga bahoo
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi

    Hakuna cha jamaa wala nn, sema yamekukuta mkuu
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

    Kuna jamaa hapa mtaani kwetu ana ulemavu wa kusikia na kaoa mwalimu wa Sekondori na wana watoto wako fresh tuu. Mwambie atafute hela tuu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Kuna jamaa mmoja kitaa. Baba yake alitoa eneo ikajengwa shule, eneo ni kama hekari 40 ivi. Sasa iv jamaa anakomaa hilo eneo lilirudishwe kweny familia yao ingawa tayar mzee wake ameshatangulia mbele haki. Kitu kikishatolewa kwa taasisi fulan kukipata huwa kaz sana na tuseme tuu huwez kupata...
Back
Top Bottom