Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,127
YameishaKivipi yaani
YameishaKivipi yaani
Mpatie hela umwambie akasuke. Utachati usiku kucha.Jamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?