Hivi hawa majambazi wataendelea kutumia pesa zetu kuzima ukweli hadi lini????????
Imagine ni sh ngp zimetumika kununua magazeti yote.Na hizo hela zimetoka kwny
acount ipo labda?
Serikali ilimtelekeza pamoja na kushika deputy governor,kwny msiba kiherehere
Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele...
Riz1 atuambie km mke wake alistahili kupata 100% ya loan frm HESLB while watoto wa walalahoi wamekosa na wamefaulu na kudahiliwa sasa sijui ada nani atawalipia,HUYU MTOTO FISADI,MBINAFSI NA ALAANIWE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.