Recent content by tunka

  1. tunka

    JamiiForums Tanzania Regency park hotel iko mikocheni sehemu gani?

    Panda gari za kawe hapo mawasiliano shuka kawe, then panda gari za mbagala au buguruni shuka kituo kinaitwa kwa mwalimu nyerere then utatembea kidogo kuelekea mbele, hotel ipo upande huo huo ulioshukia.
  2. tunka

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usahili Arusha Technical College

    Asante sana mkuu kwa taarifa, sikujua leo ndio nimeona post yako
  3. tunka

    JamiiForums Tanzania Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Makubwa,
  4. tunka

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana rasmi na Vodacom

    Customer care wa Vodacom hasa pale mlimani city wanaringa sana, utasikia Mara kitambulisho kina picha ya zamani kalete barua ya serikali za mitaa, kwa ujumla wanatuchosha wateja
  5. tunka

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Ndefu sana, summarize
  6. tunka

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, hana muda wa kuwasiliana na mimi

    Pole sana dada, hao ndio wanaume wa kizazi hiki walio wengi ndivyo walivyo
  7. tunka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Utumishi

    Asante sana kwa taarifa mkuu
  8. tunka

    JamiiForums Tanzania Vituko Vya Kwenye Daladala

    ha ha haaaa!
Back
Top Bottom