Recent content by Tundusi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

    Hakika mi ni pite tu kwa kuwa DRC twa wafundisha sisi then? Kwa ukanda wa EA Tz ina ongoza nalipenda Jeshi la nchi yangu na nina wahamini
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana inauzwa, 3ms

    Nyumba nzuri sana ina uzwa bei ni Tshs 3ms tu ipo Ars sehemu nzuri ina X pande zote 4 ila zinafutika vizuri sana na mtu kuishi vizuri
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Nipite tu kwani maswali ni mengi!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Kuangalia upya kuendana na starndard za shule kitahaluma kimazingira ni vizuri ila hili la kupanga Ada mi ni pite tu. Kwakuwa wazazi wengi siyo watahalam kielimu ila wanafikiri shule yenye majengo mazuri na Ghali ndio bora Serikali itupe hizo starndard sasa na siyo tu kwakuwa shule ili faulisha...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Hii ndio shida ya kulewa madaraka kwakuwa yeye ni mkubwa alithani kila asemacho ni sahihi na inakuwa sheria hapo hapo? Asante sana Chande ihi ndio kazi yako itangazie pia Uma wa watz. Ndg/Bi piga kura bila kukosa usisababishe uvunjifu wa Amani popote ila chunga kura yako sana.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hadi ije ifike December tutaona mengi Tz-ZNZ Ehee Mungu tuongoze sisi sote hata wake wasio tutakia mema Tz
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Najipenda sana nina hamu ya kupiga kura na kuona anaapishwa Hitoria inaandikwa na ipenda sana Tz ijayo sitachangia na pita tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hujuma dhidi ya UKAWA kuelekea Oktoba 25, kuwa wa Kwanza kujua

    Uzee ukikufika hata huweke mkorogo gani hapana ila kama wapenda Mabadiliko wahitaji kizazi kijacho kisipate msongo wa Mawazo kama sisi kwa sasa na kizazi hicho kisi je juta kuwa wa Tz basi Fanya kampeni sasa tu badilishe system hii tu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Watoroke mapema kwa kuwa mlango una fungwa sasa wasije jutia wajipange tu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Turoka uje hakika ni sahii
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata barabara ya lami kwa Sumaye imejengwa na Magufuli

    Ninavyo elewa Barabara hujengwa na kodi walipazo wanachi na siyo fulani wala chama fulani mleta mada wataka kutuhaminisha nini?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je kwa siasa hizi CCM itabaki!

    Wa tuambie walifanya nini watatufanyia nini ni vip wataweza kuweka moral kwa watz wapende kuwa watz na si kujutia kuwa watz waache matusi. Watanzania sasa Mabadiliko ni habari ya mji na mtaa sasa wacha mi ni pite tu. Zimebaki siku chache sana tuta jua
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji utakonda sana si kwa sababu una presha ama kisukari bali chuki yako dhidi ya Lowass

    Hakika kwa Mwaka huu wa madiliko wataongea yote ila watu wameamu hata kuchagua kivuli ila siyo ssm kwa wale wenzangu na mie watu ache wapigie debe mtu wao na wasema kwa walikisea wapi 50yrs?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

    Kincho takiw na ambavyo watz wamejipana kwa sasa ni kutoa system ya Sisim we wanao tukana na kujiropokea tusipoteze muda nawo tuwahelimishe zaidi wale wasio jijua ila kwa hali ilivyo sasa kwa kila mtanzania bila kuhitaji hata Elimu ya Msingi hali ni mbaya sana kila kona tufanye mahamuzi ambayo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

    Twende Ushindi ni uhakika mwelimishe mwezio asiye jijua watajiongelesha tu kwakuwa twahitaji Mabadiliko Sasa na siyo baadahe.
Back
Top Bottom