Recent content by Tundapori

  1. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa water pump ambayo ni bora

    Hii pump inapatikana Dar es Salaam?
  2. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

    Agiza kutoka kijiji cha Ng’wamigagani, kata ya Ng’walushu wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, yapo kibao.
  3. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania

    Iwe MIGA au isiwe MIGA haibadilishi cho chote, tutaendelea kuchapwa mboko tu na hao wazungu. Kichekesho gani hiki?
  4. Tundapori

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Huo ulikuwa mtego wa act na c…
  5. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Mbona bado tunaibiwa mapesa kibao na malisilimali kibao na raia wasio wa inchi singine? Eti kulinda usarendo, usarendo upi? Usarendo unaovunjwa na wenyesi wa siyo diaspora.
  6. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye best first lady of All time?

    Tofautisha katı ya Maneno na Vitendo.
  7. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Hata asante mkuu hakuna. Hongera lakini
  8. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Nenda Boko-Magegeni njia panda ya kwenda Mbweni wana ofisi na mbao utapata
  9. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Sehemu nzuri na ya kuaminika ya kupata dollar kwenye black market ni wapi has mkuu, asante ?
  10. Tundapori

    JamiiForums Tanzania LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Gari kupewa namba D au E haina maana kwamba hiyo gari ni mpya. Gari iliyotengenezwa mfano mwaka 1975 na ikaletwa Dar leo kutoka Japan inapewa namba E. Haya ni maajabu kweli kweli. System hii ya kutoa number plates kwa vifaa vya moto inafaa marekebisho.
  11. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Combination ya excessive sweating (hyperhidrosis) + bacteria ndo shida. Inabidi hiyo excessive sweating kwapani ipunguzwe kwanza ndiyo ifuatiwe na maswala usafi kwanza kusiwe na hao bacteria.
  12. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Nenda kamuone Dermatologist (daktari wa magonjwa ya ngozi) akuchome Botox injection kwenye kwapa. Deodorants, limau, ndimu, chumvi etc etc haziwezi kuondoa hilo tatizo. Choma kwanza hiyo Botox ndio utumie hizo deodorants. Ni PM ili nikuelekeze vizuri. ……… Tuwasiliane.
  13. Tundapori

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Nenda hospital waambie wakuchome sindano ya BOTOX kwenye kwapa zote mbili, hilo tatizo litaisha. Kuna uwezekano mkubwa kwa madaktari wachache sana wanaoifahamu hii tiba.
Back
Top Bottom